UDAKU :2013 Reloaded!!

UDAKU :2013 Reloaded!!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Wadau kwa hisani ya Bishanga na TANMO na body ya wadhamini kwa ujumla wake niwape mbili tatu zilizotukia hadi tunafunga mwaka 2012 kama ifuatavyo
i. Madame B awagonganisha Ruttashobolwa, Chili na tedo. Mwenyewe adai anapima wallet, , Baba V ang'aka juu ya tabia hiyo.
ii. Erickb52 aenguliwa kwenye kamati ya screening, ndoa za watu zatajwa kuwa chanzo, mwenyewe alonga, amtupia lawama Mamndenyi kwa majungu
iii. Baba V avunja ndoa ya manoah na cielo, kutofuata taratibu kwawaponza
iv. Asprin hoi baada ya kumkagua lara 1 , asimulia alichokiona, aomba aongezewe vifaa na wasaidizi
v Arushaone amkimbia Mamndenyi, ni baada ya kumuona live, ajutia kupenda kwa kusoma comments.
vi Erotica apata watoto mapacha, yasemekana kila mmoja ana baba yake HYGEIA amkubali mmoja, utaratibu wa kupima DNA ili kumtambua baba wa mtoto mwingine waandaliwa
vii. baada ya kuingia kichwa kichwa kwa mtoto wa Kinyarwanda Theo pistol, Bishanga apukutishwa kila kitu, akosa nauli ya kurudia bongo. Nicas Mtei amnusuru, ashukuru uwepo wa huduma ya M-pesa,
viii Ruhazwe JR akumbwa na kashfa, ni kuhusu ushindi wa cielo, rushwa ya ngono yatajwa. figganigga ahusishwa
ix zubedayo_mchuzi atoa kali ya mwaka, ni baada ya kauli yake kuwa kaona watu kwenye gari wakiwa na vichwa vya ng'ombe. bangi na jua kali vyahusishwa. mwenyewewe asisitiza yuko timamu. Katavi atoa ufafanuzi
v. Ruhazwe JR katika kashfa tena 2013. Ni kuhusu zawadi za mshindi wa miss chit chat wa mwaka 2012. Adaiwa kutokomea na zawadi za washindi. Madame B na charminglady wamsaka siku nzima, waonekana mtaa wa samora wakiwa wamevaa gloves za boxing, ulinzi shirikishi waimarishwa .

Linafuata toleo jingine....
 
Last edited by a moderator:
Huyu Erickb52 hata mimi alinipiga majungu mpaka nikalimwa kibuti.
Dawa yake ni kumgandanisha siku moja, ngoja nilonge na "Nyepesi" anipeleke kule alipoagia...
 
Huyu Erickb52 hata mimi alinipiga majungu mpaka nikalimwa kibuti.
Dawa yake ni kumgandanisha siku moja, ngoja nilonge na "Nyepesi" anipeleke kule alipoagia...
Hehehee Kibuti kwako ni kawaida TANMO wala sio mimi!
Unajua hata FP nakushangaa ulivyo mzito kutoa maneno matamu lol
Haya ukipata binti mwingine sema nikusaidie kumweka tunduni coz mi kwa sasa sina midadi ya hayo makitu!
Kazi ni Kwako TANMO
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndo penyewe, anasiane yeye hadi panya wake wote pia
Hivi Baba V mnamjua mjukuu wa Juma Njemba kule Kigoma?
Haya niguseni muone mtakavyoanza kunasiana! Yan neno tu unanasa
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mkuu Baba V. Ile Stori ya Mjeda iliishia wapi?
Hahahaaa mi niliifuatilia hadi nkapitiwa na usingizi ila niliota wameimove sikujua wameipeleka wapi ila itakuwa jukwaa la hoja mchanganyiko au MMU
 
Hehehee Kibuti kwako ni kawaida TANMO wala sio mimi!
Unajua hata FP nakushangaa ulivyo mzito kutoa maneno matamu lol
Haya ukipata binti mwingine sema nikusaidie kumweka tunduni coz mi kwa sasa sina midadi ya hayo makitu!
Kazi ni Kwako TANMO

K i z u n g u z u n g u

My New Year Resolution: SI DA NG AN YI KI
 
Hongera paparazi Baba V,bodi itakaa kikao cha kukupandisha cheo. Ila ongeza na hizi stori za reo reo:
-siri ushindi wa charming lady wafichuka,alitumia waganga wazaire
- Chimbuvu ampindua kizazi Madame B,kalazwa kwa kairuki,chezeiya wewe niniliyu size 14
-yagundulika kumbe Erickb52kumbe ni papaa msofe,anatumia kanokia ku browse akiwa lupango
-pembe za ndovu zilizokamatwa hongkong kumbe n mali ya Nyani Ngabu,anasakwa na interpol
- Lizzy kufunga ndoa na bishanga?
-utafiti wabaini,chitchat kuna wapiga msuba kibao,taarifa zaidi atatuletea Kongosho supplier mkuu
-mimba ya King'asti sio ya pou
 
Last edited by a moderator:
Hongera paparazi Baba V,bodi itakaa kikao cha kukupandisha cheo. Ila ongeza na hizi stori za reo reo:
-siri ushindi wa@charming lady wafichuka,alitumia waganga wazaire
-@chimbuVu ampindua kizazi Madame B,kalazwa kwa kairuki,chezeiya wewe niniliyu size 14
-yagundulika kumbe Erickb52kumbe ni papaa msofe,anatumia kanokia ku browse akiwa lupango
-pembe za ndovu zilizokamatwa hongkong kumbe n mali ya Nyani Ngabu,anasakwa na interpol
-@lizzy kufunga ndoa na bishanga?
-utafiti wabaini,chitchat kuna wapiga msuba kibao,taarifa zaidi atatuletea @kiongosho supplier mkuu
-mimba ya King'asti sio ya pou

Nahisi Bado una Ndovu Kichwani, Mbona hueleweki???????/
 
Mzimu wa Bongo muvi wamnyemelea Bishanga


Hongera paparazi Baba V,bodi itakaa kikao cha kukupandisha cheo. Ila ongeza na hizi stori za reo reo:
-siri ushindi wa@charming lady wafichuka,alitumia waganga wazaire
-@chimbuVu ampindua kizazi Madame B,kalazwa kwa kairuki,chezeiya wewe niniliyu size 14
-yagundulika kumbe Erickb52kumbe ni papaa msofe,anatumia kanokia ku browse akiwa lupango
-pembe za ndovu zilizokamatwa hongkong kumbe n mali ya Nyani Ngabu,anasakwa na interpol
-@lizzy kufunga ndoa na bishanga?
-utafiti wabaini,chitchat kuna wapiga msuba kibao,taarifa zaidi atatuletea @kiongosho supplier mkuu
-mimba ya King'asti sio ya pou
 
Last edited by a moderator:
Jamvi la wageni halikosi viraka....napita!
 
Back
Top Bottom