Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Mkuu habari ndo hiyo.... Ruhazwe JR katokomea na zawadi zetu bila maelezo!!
Jfudaku mtambo wa kurekebisha tabia,hare up tumalize hii kazi kamanda TANMO.........Inasemekana Madame B alihonga penzi kwa Ruhazwe JR ili awe mshindi wa ule mpambano.
....... Pia kuna tetesi kuwa Ruhazwe JR anamzungusha charminglady akiwa na lengo maalumu la kumwingiza kingi huyu Mrembo kabla ya kumpatia zawadi zake.
Ngoja niingie kazini kusaka ukweli kisha nitarejea.
......bora basi hata angekuja jukwaani kutueleza nini kumetokea kuliko kukaa kimya.
na kama Zawadi zetu amelipia Kodi ya Nyumba au Kaenda kumlipia mwanae Ada ya Shule........, ajiandae kwenda Ukuta Mrefu.
Nikutafute kwani umetokomea na Ruhazwe JR maana yeye ndiye anayetafutwa. hata hivyo naruhusiwa kukutafuta??
Nikutafute kwani umetokomea na Ruhazwe JR maana yeye ndiye anayetafutwa. hata hivyo naruhusiwa kukutafuta??
nawewe uwe unamalizia sentensi zako usipomalizia zinaleta maana tofauti
Baba V tafadhali banaaa! Hata panya wanasiane itakuwa balaa, by the way kunasiana sio uchawi.... Ka-google vaginal headlock AMA penis captivus hiyo inaelezeka kitaalamu.... Ha ha haaaa!Hapo ndo penyewe, anasiane yeye hadi panya wake wote pia