UDAKU :2013 Reloaded!!

UDAKU :2013 Reloaded!!

......bora basi hata angekuja jukwaani kutueleza nini kumetokea kuliko kukaa kimya.
na kama Zawadi zetu amelipia Kodi ya Nyumba au Kaenda kumlipia mwanae Ada ya Shule........, ajiandae kwenda Ukuta Mrefu.

Ruhazwe JR tafadhali sema neno moja tu na roho zetu zitapona!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahaha
huu ukweli ni udaku!
 
Last edited by a moderator:
Baba V ,reading between the lines inaelekea kuna m scandal wa nguvu unamuelekea Ruhazwe JR,embu mwambie TANMO tufuatilie kisha toleo lijalo tumlipue huyu lundenga.
charminglady na Madame B kama mna additional data zitupieni kipande hii tuzifanyie kazi fasta.

........Inasemekana Madame B alihonga penzi kwa Ruhazwe JR ili awe mshindi wa ule mpambano.
....... Pia kuna tetesi kuwa Ruhazwe JR anamzungusha charminglady akiwa na lengo maalumu la kumwingiza kingi huyu Mrembo kabla ya kumpatia zawadi zake.

Ngoja niingie kazini kusaka ukweli kisha nitarejea.
 
Udaku toleo la kwanza ndio lilikuwa funiko haijapata kutokea duniani!!
 
Back
Top Bottom