Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Mungu hako defined kwa moja kwa moja maana My God is not yours (think twice kwenye hii statement)
 
Umeshindwa hata kum define Mungu.
Hoja ya kuandika hapa inahitaji upekuzi mkubwa akilini, Kuna watu Mungu wao ni ng'ombe, Kuna wengine hawamjui they expect to be spirit, Kuna wengine ni Yesu
Kila mmoja ana namna ya Mungu wake so why nikaweka ni chochote,yoyote etc
Nikimaanisha chenye uwezo zaidi kwa mtizamo wako
 
Hoja ya kuandika hapa inahitaji upekuzi mkubwa akilini, Kuna watu Mungu wao ni ng'ombe, Kuna wengine hawamjui they expect to be spirit, Kuna wengine ni Yesu
Kila mmoja ana namna ya Mungu wake so why nikaweka ni chochote,yoyote etc
Nikimaanisha chenye uwezo zaidi kwa mtizamo wako
Mungu ana sifa gani?
 
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.

Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.

Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.

1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)

Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani

Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).

Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.

A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Zipo sababu nyingi na hujazieleza..

Wasalaam

Kwa Sasa safarini namanyele
 
Sifa ambayo ni General ni moja
Kitu,mtu,jitu,hukijui,chochote kinachohusishwa na mtu,jamii kuwa kina uwezo kuliko chochote
Chochote usichokijua ni Mungu? Utajuaje kipo kweli sasa na si unafikiri tu kuwa kipo?
 
Mungu hako defined kwa moja kwa moja maana My God is not yours (think twice kwenye hii statement)
My God is not yours because God is a fiction, every believer has their own God fiction.
 
Una uthibitisho gani kwamba binadamu wana starting point?

Kwani ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na starting point?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na starting point, Hata hiyo Starting point lazima iwe na starting point yake nyingine.

Na kama si lazima kila kitu kilichopo kina starting point, Hata binadamu hawana starting point.
Uthibitisho wa Kibailojia unaonyesha Binadamu ana starting point.... simply kwa kutazama Reproduction inavyofanyika.

Wewe unaesema Binadamu hana starting point unaweza kuthibitisha hoja yako kwa mifano inayoingia akilini?
 
Back
Top Bottom