Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Uchunguzi wangu kuhusu kifo

Kwahiyo mwanzo wa binadamu umetokana na nani hasa??
Binadamu hana mwanzo.

Binadamu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.

Kama binadamu lazima awe na mwanzo, Hata huo mwanzo wa binadamu lazima uwe na mwanzo wake.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina mwanzo, Hata binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na mwanzo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na Binadamu hatuna na hatuhitaji kuwa na chanzo.
 
Aaah sawa bwana kila mtu akubali mawazo yake mkuu
 
Mimi siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile.

Uhai hauna origin.

Kama kila kitu lazima kiwe na origin, Hata "Origin ya uhai" lazima iwe na origin yake.

Hivyo kutakuwa na "Origins" nyingi zisizo na mwisho.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo "origin" Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo origin.
Unasema hauna imani ya aina yeyote ina maana wewe hata kwenye hili la kifo ni kwamba hauamini kama utakufa?
 
Mimi siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile.

Uhai hauna origin.

Kama kila kitu lazima kiwe na origin, Hata "Origin ya uhai" lazima iwe na origin yake.

Hivyo kutakuwa na "Origins" nyingi zisizo na mwisho.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo "origin" Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo origin.
Hapo Mwanzo kulikuweko Neno,Naye Neno alitoka kwa Mungu,Vitu vyote (Yohana 1:1_)
 
Mimi siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile.

Uhai hauna origin.

Kama kila kitu lazima kiwe na origin, Hata "Origin ya uhai" lazima iwe na origin yake.

Hivyo kutakuwa na "Origins" nyingi zisizo na mwisho.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo "origin" Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo origin.
1.Unaposema huamini chochote Huwa unamaanisha nini mkuu?

Kwa sababu hakuna neutral katika majibu. Kama huamini kitu ndiyo umeamini Huko kutoamini.

2. Neno kuamini kwako ni nini?

Nakupa mwongozo ;Kuna mambo mawili ya kuzingatia katika majibu yako. Kwa sababu kiswahili kilijosa kunyumbulika,neno "Imani" limekosa upana wake. Kuna "kuamini" kama faith na Kuna kuamini kama 'believe ".

Swali; wewe unasimamia katika context ipi kati ya hizo mbili?
(a) Faith
(b) Believe?
 
Kwanza huyo Mungu hayupo na roho haipo.

Hakuna Mungu aliyeweka umri wa miaka 70 wa binadamu kuishi.

Hizo ni hekaya za vitabuni tu.
Kosa mnalolifanya nyie msioamini Mungu (akiwemo kiranga) ni namna mnavyodefine Mungu. Na mbaya zaidi mnakutana na watu wasiojua chochote katika kutetea hoja ya uwepo wa Mungu.

Mfano wewe hapa umejibu "Huyo Mungu hayupo". Kwa nini Mungu awe huyo,huyo ni nani? Kwanini isiwe nini? Umefikia hitimisho ambalo umeamua kujikadiria jibu kabla ya kudefine Mungu ni nini?

Mungu ni nini? What is God?
 
Back
Top Bottom