Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,986
- 27,611
Hizi ni hekaya za vitabuni tu.Hapo Mwanzo kulikuweko Neno,Naye Neno alitoka kwa Mungu,Vitu vyote (Yohana 1:1_)
Hizi ni hekaya za vitabuni tu.Hapo Mwanzo kulikuweko Neno,Naye Neno alitoka kwa Mungu,Vitu vyote (Yohana 1:1_)
Namaanisha sina imani ya aina yeyote ile.1.Unaposema huamini chochote Huwa unamaanisha nini mkuu?
Nimekwambia siamini kwenye kuamini.Kwa sababu hakuna neutral katika majibu. Kama huamini kitu ndiyo umeamini Huko kutoamini.
Kuamini ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho wa uwepo wa kitu fulani.2. Neno kuamini kwako ni nini?
Siamini kwenye kuamini (believing)Nakupa mwongozo ;Kuna mambo mawili ya kuzingatia katika majibu yako. Kwa sababu kiswahili kilijosa kunyumbulika,neno "Imani" limekosa upana wake. Kuna "kuamini" kama faith na Kuna kuamini kama 'believe ".
Swali; wewe unasimamia katika context ipi kati ya hizo mbili?
(a) Faith
(b) Believe?
Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo, Badala ya kujua kwa uhakika kabisa kwamba kuna Mungu?Kosa mnalolifanya nyie msioamini Mungu (akiwemo kiranga) ni namna mnavyodefine Mungu.
Kwa nini uhangaike kumtetea huyo Mungu badala ya kumwacha ajitetee mwenyewe kama ana huo uwezo?Na mbaya zaidi mnakutana na watu wasiojua chochote katika kutetea hoja ya uwepo wa Mungu.
Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo.Mfano wewe hapa umejibu "Huyo Mungu hayupo". Kwa nini Mungu awe huyo,huyo ni nani? Kwanini isiwe nini? Umefikia hitimisho ambalo umeamua kujikadiria jibu kabla ya kudefine Mungu ni nini?
Mungu ni dhana ya kufikirika mliyo jitungia vichwani mwenu.Mungu ni nini? What is God?
Siamini kwamba nitakufa, ila ninajua na nina uhakika kwamba nitakufa.Unasema hauna imani ya aina yeyote ina maana wewe hata kwenye hili la kifo ni kwamba hauamini kama utakufa?
Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana,Mimi naamini Mungu yupo!Namaanisha sina imani ya aina yeyote ile.
Nimekwambia siamini kwenye kuamini.
Usicho elewa ni nini?
Kuamini ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho wa uwepo wa kitu fulani.
Siamini kwenye kuamini (believing)
Sina imani (faith) ya aina yeyote ile.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo na hiyo ni haki yako ya kikatiba kabisa.Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana,Mimi naamini Mungu yupo!
K ni hatarii Kwa afya yakoIla hapo kwenye tendo la ndoa inaweza kuwa kweli, wanawake ni SUMU
Fafanua mkuu.K ni hatarii Kwa afya yako
Fafanua Sasa hizo sababu ulizozitaja hapo juu...Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.
Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.
Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.
1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)
Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani
Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).
Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.
A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Afadhali usaidie mkuu maana watu wanakaza fuvuKosa mnalolifanya nyie msioamini Mungu (akiwemo kiranga) ni namna mnavyodefine Mungu. Na mbaya zaidi mnakutana na watu wasiojua chochote katika kutetea hoja ya uwepo wa Mungu.
Mfano wewe hapa umejibu "Huyo Mungu hayupo". Kwa nini Mungu awe huyo,huyo ni nani? Kwanini isiwe nini? Umefikia hitimisho ambalo umeamua kujikadiria jibu kabla ya kudefine Mungu ni nini?
Mungu ni nini? What is God?
RightFafanua mkuu.
Wewe unajuaje kama utakufa uhakika huo unaupata vp au kwa sababu unaona watu wengine wanakufa?Siamini kwamba nitakufa, ila ninajua na nina uhakika kwamba nitakufa.
Kuamini ni kutokuwa na uhakika. Ukishakuwa na uhakika na uthibitisho wa jambo fulani wala huitaji tena imani.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Mchokonozi huyuKwanza huyo Mungu hayupo na roho haipo.
Hakuna Mungu aliyeweka umri wa miaka 70 wa binadamu kuishi.
Hizo ni hekaya za vitabuni tu.
Ninajua kwa uhakika kabisa siwezi kuishi miaka zaidi ya 150.Wewe unajuaje kama utakufa uhakika huo unaupata vp au kwa sababu unaona watu wengine wanakufa?
Leo nitaelezea kuhusu point ANimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.
Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.
Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.
1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)
Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani
Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).
Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.
A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Leo nitaelezea kuhusu point A
Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
Kitu muhimu cha kuzingatia ni kuwa unapobalehe unaanza kuproduce uhai mwingine zile mbegu na mayai yana uhai
Hivyo wewe ndio kiini cha ule uhai, sasa tambua unapoanza kuproduce mapema pia unaincrease possibility ya kupunguza life yako, these for men,
Vivid example ni kwa watu ambao hawakuoa mapema na hawakuwa wakipiga punyeto sana utaona Wana nguvu na hata wazee wengi kwa sasa ni wale waliochelewa kupata watoto au wale walio na watoto mapema Bali hawakuendekeza kufanya tendo la ndoa mara kwa mara
Kwa wanawake ili kuishi sana inapaswa kumanage time Yao ya kupata watoto, haimaanishi ukipata watoto haraka haraka ndio life span itakuwa ndogo, no ni lazima ugundue namna mwili wako unavyoenda yani usichoke, wanawake hili swala haliwahusu sana ila ni kwa upande fulani itawahusu..ndio maana wanakuwa na life span kubwa kuliko wanaume
Angalia kwenye Biblia Hawa watu walioishi mda mrefu walipata watoto kwa mda gani. Ni wazi walichelewa kupata watoto