Uchunguzi wa mapacha

Uchunguzi wa mapacha

Nina uhakika kuwa hapakuwa na kitu kama hicho Ilboru.

Kama wameanza mchezo huu basi wanaiharibu elimu kwa makusudi.

Shule huwa na idadi maalum ya wanafunzi wanaotakiwa kuchaguliwa na kwa vigezo maalum. Kuchanganya wanafunzi kiholela sio sahihi.

Hii kwangu ni news, sijawahi kusikia wala kuona kitu kama hiki katika shule zote nilizosoma!!!

Hii ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo. TISS huingiza watu wao kwa mtindo huo
 
Nina uhakika kuwa hapakuwa na kitu kama hicho Ilboru.

Kama wameanza mchezo huu basi wanaiharibu elimu kwa makusudi.

Shule huwa na idadi maalum ya wanafunzi wanaotakiwa kuchaguliwa na kwa vigezo maalum. Kuchanganya wanafunzi kiholela sio sahihi.

Hii kwangu ni news, sijawahi kusikia wala kuona kitu kama hiki katika shule zote nilizosoma!!!
Hizo ni njia za panya mkuu na ninadhani hiyo inawezekana kimjimjini,siku wakija wakaguzi unapotea hutokei school.Ila sio utaratibu mzuri
 
Wote wawili nanaendesha Gari moja?

mbona hujatulia kuleta habari zako, hebu tulia na leta habari yenye mtiririko mzuri

Mkuu samahani, ukiambiwa gari hili lima madereva wawili, kwako humaanisha lina usukani kuwili?
Mambo mengine huhitaji mantiki tu, na si kuelimishwa.
 
nafikiri waliomba kusoma kwa muda huku wakiwa wamejisajili kwingine kama private candidates
mkubwa wewe ndio ulioleta mada na kufanya uchunguzi inakuaje unakuja na neno'unafikiri'
 
msome vzr utamuelewa mtoa mada ni kwamba hawakuchaguliwa kwenda A-level ilani kama waliombewa wasome apo ilboru just kama private candidates kisha wakaenda kufanya mtihani kwenye kituo walichojiandikisha. kwa shule za serikali hii inawezekana sana kwamba mzazi akamwombea mwanae asoe shule fulan ada ana michango ya shule mwanafunzi atalipiwa kisha siku ya mtihani anakwenda kufanya kwenye kituo chake.

sulen hawi registered kama mwanafunzi na hata kwenye class attendance hayupo. ni kinyume na taratibu za serikali but ni njia a kusaidia kutokana na ugumu wa maisha yetu

Umejibu kwa akili nimeipenda,
 
Kama tunazungumzia mwaka 2007 Ilboru alikuwepo Andrew Kwayu. Huyu alimreplace Kitemango aliyekuwa headmaster kabla ya Kwayu na kuiaharibu shule kwa kiwango kikubwa. Kwayu kwa nilivyomfahamu sidhani kwamba angeshindwa kufanya ambacho mama gfsonwin anachosema hasa kama kuna back up ya wakubwa. Hata hivyo record hazioneshi kama kumekuwa na mapacha hao. Pengine waliokuwepo kama wanafunzi at that time wanaweza kutueleza kama wapo humu. Ila Tanzania haiishi kuwa na mambo.
 
Last edited by a moderator:

kwayu wa azania alihamishiwa ilboru?
 
My take kama meweza kuwadanganya hata Ikulu kuwa wao wamefika kwenye Mars ni uzushi wa kitoto na ndoto kwa yeyeote atakayeamini, kwani Raia wa kawaida ndio wamezunguka Dunia (Orbit) kama utalii na ninavyoelewa ni wafanyabiashara na mwanamke mmoja ambao hawahusiani na NASA

Tatizo na vyombo vyetu vya habari pamoja na waandishi wa habari wengi hawapo aware na hivi vitu ndio maana katika tasnia ya habari kunatakiwa kuwepo na watu wa fani mbalimbali ambao wana course fupi ya ziada ya uandishi wa habari ili kama habari ni za kiuhandisi anakuwepo mtu anajua hizo ABC za uandisi na fani zingine ili hata habari ziwe za weledi inapokuja fani za watu.

Niliisikia hii promo toka radio moja maarufu na haikunishangaza hiyo kusoma Harvard au kufanya hizo operation bali tukio kubwa la kwenda kwenye hiyo sayari alafu majina yao yasijulikane mpaka habari ilipotoka maana kwenda kwenye Mars lazima iwe ni tukio kubwa ambalo dunia nzima inalitambua na hata kama wamekataa kupigwa picha basi picha zao zingepatikana tu kupitia vyanzo vingine vya habari

All in all nimependa hapo bolded wafanyabiashara na mwanamke mmoja
 
Jamaa yangu Jodoki Kalimilo hawa vijana ndio walionitia maudhi kwani wanawafanya watu wote hatuwajui na uongo wao (Hawa watoto kweli wamesoma Ilboru 2010) Ingawa dada yangu gfsonwin alielezea uwezekano wa kusoma kwa wizi shule za Serikali ni kuwa hawa Mapacha wamajulikana Tangu wakiwa Lyamungo 2007 wakakatisha masomo na kutoroka halafu wakaingia Ilboru katika ya mwaka 2010 mmoja akichukua PCB na mwingine PCM wakati wa Mitihani ya Mock ndipo kilipofumuka kwani walikuwa hawana Index No. na Registration ikabidi Mkuu wa Shule awahoji na wakashindwa jieleza, asubuhi yake walitoweka kote huko wamesoma na Bw mdogo M. Massanga km watabisha yatamwagika zaidi Hapo ulipoBold kuhusu Mwanamke kuzunguka Dunia na wote waliotembelea Anga Waafrika hukuna ila kuna weusi na Updates za mwisho ni 2010 kwa mara ya 4 mwanamke alikuwepo
220px-STS-131_and_Expedition_23_Group_Portrait.jpg
220px-STS_61-A_crew_portrait_onboard_Challenger_middeck.jpg
BOFYA
List of spaceflight records - Wikipedia, the free encyclopedia
Longest single flight by woman

Wala sishangai wameshaanza kujibu hizi thread lakini wakae wakijua Rais wetu hatadanganywa kama Gazeti la Daily News au Mwananchi tutamshitua lazima kama sio wao basi ni wale wanaofaidika na Biashara hiyo ya Uchalii na utapeli

quote_icon.png
By mmasai kilema

  • Hiyo speed unayoitumia kutaka kuwajua hao mapacha si ungeitumia kwenye elimu yako au kutafuta pesa si ungekuwa tajiri
  • Yakigusa ikulu wewe yatakusaidia nini au utapata faida au hasara gani
[Post=5882113]BOFYA HAPA[/Post]
 
Kama tunazungumzia mwaka 2007 Ilboru alikuwepo Andrew Kwayu. Huyu alimreplace Kitemango aliyekuwa headmaster kabla ya Kwayu na kuiaharibu shule kwa kiwango kikubwa. Kwayu kwa nilivyomfahamu sidhani kwamba angeshindwa kufanya ambacho mama gfsonwin anachosema hasa kama kuna back up ya wakubwa. Hata hivyo record hazioneshi kama kumekuwa na mapacha hao. Pengine waliokuwepo kama wanafunzi at that time wanaweza kutueleza kama wapo humu. Ila Tanzania haiishi kuwa na mambo.

Hapo kwenye red mkuu, nikimkumbuka Kwayu, nakubaliana na wewe kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom