Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
angalia usije ukawa sued kwa kutoa namba za watu hadharani
Ndo maana nimeomba watu wawe wastaarabu ili isilete tatizo. Kwani mtu akipiga na kuuliza tu kuna ubaya?
angalia usije ukawa sued kwa kutoa namba za watu hadharani
mzima kabisa vipi huko kwema?
mkuu ni mbaa sana kutoa namba za watu pasi idhini zaoNdo maana nimeomba watu wawe wastaarabu ili isilete tatizo. Kwani mtu akipiga na kuuliza tu kuna ubaya?
Kwema kabisa. Kwaresma inasonga mbele kwa neema za bwana.
Nasikia mapacha hawa walikuwa wakienda ilboru na Naomba kama kuna mtu wa ilboru atuthibitishie kwa sababu nimepata tetesi nyingine kuwa kuna kipindi waliadhibiwa wakatimuliwa. Na mwisho wa siku walikwenda kufanya final kituo cha private huko monduli wakitumia majina yao halisi. Naombeni mgoogle hayo majina jamani. Kuhusu gari wanatumia gari moja la UN na muda wote wanakuwa pamoja wakiendesha kwa kupokezana kama kawa.
Hata mimi nimehish hivyo!
watu wanaweza waka-wamakinda!mkuu ni mbaa sana kutoa namba za watu pasi idhini zao
nimeshawaomba mods waiondoe.
mapacha waliovumishwa kwa zaidi ya masaa 120 hawapo havard na nimepata taarifa zao kamili. Huyo anajiita salvanus jina lake halisi ni hassan abdi na sylvanus ni hussein abdi na wote walimaliza form 4 2007 ktk skuli yenye no. S0973 ambapo walipata dv 3. Hawakuchaguliwa kujiunga form 5 hivyo walikwenda kusoma ilboru PCM & PCB lkn final walifanyia kwingine na sio ilboru. Matokeo yao ya six hayakuwa mazuri. Inadaiwa wanaendesha gari la UN la AICC Arusha. Primary wamesoma murongoine. Natamani ningekuwa na mwenyeji arusha niwatafute niwaulize kwanini wanafikia hatua ya kudanganya umma na kumwongopea jk.
Nina uhakika kuwa hapakuwa na kitu kama hicho Ilboru.
Kama wameanza mchezo huu basi wanaiharibu elimu kwa makusudi.
Shule huwa na idadi maalum ya wanafunzi wanaotakiwa kuchaguliwa na kwa vigezo maalum. Kuchanganya wanafunzi kiholela sio sahihi.
Hii kwangu ni news, sijawahi kusikia wala kuona kitu kama hiki katika shule zote nilizosoma!!!
mapacha waliovumishwa kwa zaidi ya masaa 120 hawapo havard na nimepata taarifa zao kamili. Huyo anajiita salvanus jina lake halisi ni hassan abdi na sylvanus ni hussein abdi na wote walimaliza form 4 2007 ktk skuli yenye no. S0973 ambapo walipata dv 3. Hawakuchaguliwa kujiunga form 5 hivyo walikwenda kusoma ilboru PCM & PCB lkn final walifanyia kwingine na sio ilboru. Matokeo yao ya six hayakuwa mazuri. Inadaiwa wanaendesha gari la UN la AICC Arusha. Primary wamesoma murongoine. Natamani ningekuwa na mwenyeji arusha niwatafute niwaulize kwanini wanafikia hatua ya kudanganya umma na kumwongopea jk.
Mkuu inaonekana huijui vizuri Tanzania ya sasa. Kama twiga wazima wazima wanaweza kupandishwa ndege sembuse hili dogo tu? kuna watu wamehukumiwa kifungo lakini wanalala nyumbani sembuse hili? watu siku hizi wamekuwa na mioyo migumu sana mbele ya noti.
Usicheke sana bila tafakari .....labda wanaendesha kwa kukupokezana !Mkuu,
Yaani umenivunja mbavu mpaka basi!!!
THE Tanzanian twins who have made record for being the first 'astronauts' from Africa to fly to outer space and orbiting round Mars, the red planet, have just jetted back into the country.
Sylvanus and Salvanus, who prefer to use the surname of 'Kawasange' their current guardian, are however, keeping mum about everything; "We shall grant you an interview after we have met the president," they stated over the weekend in Ngorongoro District.
Salvanus and Sylvanus will be special guests at the State House in Dar es Salaam this week when they meet President Jakaya Kikwete. The twins, born with extraordinary skills, said they will not be giving any official statement or interview and refused to take any photos prior to their meeting with the Head of State.
The identical twins, in their early twenties are both geniuses. Their talents were discovered since childhood while at their home village of Arash in Loliondo Division of Ngorongoro District. With support from President Kikwete, the American Embassy and the United Nations, they both secured places at Havard University in the United States.
Usicheke sana bila tafakari .....labda wanaendesha kwa kukupokezana !