Nikifikiria
Cargo hii hoja yako ni baseless maana hujasema.kama.umeshawaona wangapi
Kwa mimi ambaye nimeshakutana na watu kama
ICHANA...acha kabisa mtoto mrembo hutamani kuachana naye hata dakika moja...
masai dada utaomba poo mwenyewe kwa mods waufute huu uzi wako..ukimwona tu utapata stress!
amu....hapa sisemi labda
The Boss anaeza kuwa na maneno
Khantwe..toto.limeumbika hili yaani alifinyangwa jumamosi naona
tumboo...huyu bana
mzabzab anaifaham habari yake.alipomwona tu akagairi kugegeda kwa kiwewe cha kuona wezele
Husninyo...sexy gal ni balaa....sisemi sana ila hebu mtafute uone habari yake
Karucee...huyu naye anatingisha mbaya
Asprin alidondoka ile tu kumwona..toto limejazia jazia safeey
miss chagga miss neddy na
badiebey nao kama.majina yao yalivyo ni moto wa kuotea mbaki
Evelyn Salt anagombea hapa unadhani watu hawajui thamani yake?
charminglady ata simtaji maana utazimia
Cargo go and do your homework..