Uchunguzi huru: JF haina warembo

Subutu labda kidem chao ulokibahatish hum ndo hovyo tu
 
Ha ha Ha ha naona utampa na data za mahaba kabisa mi nimeshtuka wakat warembo wengi sana... angesema miss chagga si mrembo hapo sawa
Nop. miss chagga ni kitu kingine, weka mbali na watoto. Tena nataka niiblock PM yako, sitaki wakusumbue mtafiti wangu.
 
Last edited by a moderator:
Katika dunia ya sasa ukiona picha ya mtu unaamini ndivyo alivyo na photoshop hizi.Kumbe watu bado wanadanganywa na kudanganyika.
 
Sio kweli. Utafiti wako hauko sahihi. Wapo mamiss na wanasifa zote. Wapo warembo sana sema labda hujui nini uzuri na urembo wa mwanamke.
 

kwanza hao ambao wako instagram tuko nao humu ndani.
 
Weeee umeiona iyo picha nliotuma au waongea ufurahishe jamvi....unapima maji ya kina kirefu kwa miguu...

Eeh tumboo yamekuwa hayo? Nisamehe bure kipenzi
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha kijana naona unabishana na uhalisia... ikutana na mimi utakimbia
Nakujua japo hujui kama nakujua , tushafanya biashara fulani pamoja nkakuomba simu yako nicheki kitu mtandaoni nkakutana na jamiiforum kwenye screen. nkabooonyeeza mara username miss chagga, hahahaaaa.....uko vizuri
 
Last edited by a moderator:
Nakujua japo hujui kama nakujua , tushafanya biashara fulani pamoja nkakuomba simu yako nicheki kitu mtandaoni nkakutana na jamiiforum kwenye screen. nkabooonyeeza mara username miss chagga, hahahaaaa.....uko vizuri

Kumbe ndiyo tabia yako sasa naomba tuendelee na biashara
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…