Uchunguzi huru: JF haina warembo

Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Hapa ni skul na hili ni darasa soo kama huna IQ vzr utadisco masomo soo nani wakudisco ni hivyooo wenye akili robo wanatimua kama ni kweli kwa utafti wako. na picha unazoziona hukoo wengine si wao halisi including mee tunatumia fake profile pic,fake details nk
 
Duh! Walisema wanakuja, naona washafika tayari ngoja jamaa aipate vizuri dozi yake
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......


hatupo kwenye kushindania urembo tupo kwenye kuelimika zaidi na kunifunza ndio maana watu wanapgwa ban
 
unataka kuniambia...miss chaggs...evelyn salt....heaven on earth..demba...farkhina....badiebey...sio warembo....???...

Hanna kit hapo wezi hao, demu gain mwenye bwana wake WS maana aka kuhusudu jf , wrote hao hard desire 2,
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
Poa mrembo tumekusikia
 
kuna walimbwende achilia mbali warembo

research umefanya kwa demu wako ulimuuunga jf unazani ndo wote
nahisi utakua mfupi watu wafupi wana kiranga sana
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Mkuu subiria kuchambwa... Ngojea waamke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…