Uchunguzi huru: JF haina warembo

Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Kwa vigezo vya nani?
 
mtaani hama bwana afu acha kujichubua

Ntafanyaje sasa wakati nimeambiwa weusi hawana soko....patia picha sura zombie af mweusi tiii...watoto si watakuwa wanankimbia?
 
Ntafanyaje sasa wakati nimeambiwa weusi hawana soko....patia picha sura zombie af mweusi tiii...watoto si watakuwa wanankimbia?

tuachane na haya mtoto wangu mzima dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…