Uchunguzi huru: JF haina warembo

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......
 
mhhhh!!!!! subiri waamke akina miss chaga
 
Yawezekana nikawa niko sahihi kwa asilimia kubwa kiasi fulan...JF haina wadada wazuri na wenye mvuto kimahaba kwan tafiti zinaonyesha wadada wazuri hawana tym na JF wao wako Instagram na fb
.........mtanisamehe bure ila huo ndo ukweL.......

Hivi unajuaje hayo wakati unachoona humu ni maandishi yao? Huko kwingine unaona picha. Au unawa judge kwa kutumia maneno yao? Sipati jibu
 
Mkuu mi cjaelewa bado!
kwanza umefikiria nn hasa hadi ukaamua ku#post hii mada? je, kama wangekuwepo hao wanawake wazuri unaowaongelea wangetunufahisha nanini? na je, vp kuhusu hawa wabaya unaowaongelea je, wanatu affect na nn? Mimi mbona sielewi jamani? Kwani wanawake wazuri wakoje na wabaya wakoje? Nainakuwaje sasa kuhusu huu usemi wawaenga kwamba "uzuri wa mwanamke siyo sura wala shepu bali nitabia " nawasilisha tu mkuu maana mm cjaelewa! Ila cdhan kama nitakuwa cpo sahihi ila kama nipo wrong utaniwia radhi ila naomba unijibu mkuu! 😕😕😕😕
 
hizi ni fikra binafs sio uchunguz. kuna parcent fulan ambayo haohao wa jf wako fb na instagram pia. Ishu ni kwamba hapa watu hawajiexpose picha ukawaona. Huko unapopasema wadada wako bize kuweka mapicha yanayovutia ili uwaone wazui hata kama mbaya atajiedit pcha hata moja aonekane mzur aapload.
 
Mkuu...huyo kapotea..njia alidhani huku ni kama sura ya kitabu....kwamba angekuta kina wema..wapo uchi...au mapaja ya lulu yapo wazi.....kumbe ni kwa ma GREAT THINKER....
 

JF sio FB wala Insta.... Hapa watu tunajiheshimu na tunachangia mada za maana na kujifunza mengi sio kutongozana. Wewe mleta mada nenda katafute mal@aya hukoooo sio hapa
 
Umewahi kuona picha ya hata mdada mmoja humu au hata jina lake halisi?? Nonsense. Siku nyingine usikurupuke hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…