Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Exactly ndo maana familia nyingi za kiafrika hata kama mwanaume umesimamisha biashara au miradi au kampuni, ukifa wewe mwanaume na miradi yako inakufa kwa sababu ya ubinafsi wa wanawake lakini kama wote mpo kwa ajili ya kujenga familia basi mtatengeneza generational wealth....ndo maana wenzetu ngozi nyeupe na waarabu wanabaki na generational wealth vizazi na vizazi maana surplus inayopatikana wana invest kwenye miradi ya familia sio miradi ya upande mmoja.
Kabisa mkuu. Upo sahihi.
 
Sitaki kuamini kama kweli hiyo familia imeingia mgogoro kwasababu ya kuinuka kwa uchumi wa mke, nafukiri huyo jamaa yako hakujipa muda wa kutosha ili amfahamu huyo mke kabla ya kumuoa.
Pili swala ninalo liona hapo ni tabia ya mke na sio tabia ya mali.
 
Ndio pata pesa tujue tabia yako hii tabia iko pande zote ingawa wanawake wamezidi ,waliosomesha na kutoa mitaji wanalia mbaya zaidi mwanamke amzidi elimu na hela,kari ya 100 wanaobaki watiifu ni 20 % wengine wanataka uhuru na kujitawala kutafuta mme mwingine ambaye wanaendana kwa wakati huo.
 
Uzi bora kabisa huu kwa wanaume mimi mwenyewe ishanitokea hii huko nyuma kuna dili la pesa nilipiga kwa kampuni niliyokuwa nafanya kazi kwa muhindi ile pesa nikafanya kosa nikamfungulia biashala kubwa sana ya vipodozi wife maeneo ya kinondoni dah ishu job ikawa kubwa kesi mahakamani nikapigwa segelea miezi 6 kuja kutoka namkuta wife yupo na mtu mwingine na mimba juu
Pole mkuu
 
Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.

Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia hasa kiuchumi.Hongera sana🫲Shida inakuja pale uchumi wa mwanamke unapoinuka ghafla migogoro nayo hiyooo.Mara mwanamke anakuwa na misimamo yake ,hamtii mume na hata wakati mwingine unakuta mume anafanya project zake mke naye anafanya zake, kila mtu anaspend bila kushirikishana as family.

Nalisema hili huku nikirefer experience from my best friend's life style.
Rafiki yangu alioa mwaka 2022 mwezi wa6,mke alikuwa hana kazi akamtupia mtaji wa kueleweka biashara ikazaa maradufu.

Du ghafla si mambo yakabadilika ndani humo, kukurukakara huku na kule wife akaanza makeke. Mara ghafla wife kabadilika , mara hoo wife hamskilizi mume, mara ooh utaniambia nini?

Siku zimesogea biashara ikawezazalisha mara 2 ya anachozalisha mume. Mume alikuwa mwajiriwa so alikuwa na mikopo kadhaa katika hali ya kujiendeleza ikiwa ni pamoja na mkopo wa ujenzi na aliomfungulia mkewe biashara.Aloooo inaniuma mpaka natamani niishie hapa nisielezeee tena ila waswahili husema maji ukiyavulia nguo huna budi kuyooga ngoja tu nimalizie.

Sasa bwana jamaa mambo yakamzidia kwani alikuwa na marejesho ila bado alitakiwa kufanikisha mahitaji yote ya ndani kwa 100% Kwa vile mtaji wa mke uliendelea kukua akamwomba amsaidie kupunguza marejesho aliyo nayo kwenye baadhi ya taasisi.Akamchomolea nje.

Hajakaaa sawa akaambiwa kwanza wewe si type yangu.Du ukizingatia jamaa alikuwa amepeleka watoto medium schools(walikuwa wamepata watoto kabla ya kufunga ndoa hivyo wakati wanafunga ndoa walikuwa na watoto wakubwan wanaosoma) mzigo ulimuwia mkubwa hivyo kuomba msaada wa mkewe huku akiambiwa kwamba mwanaune ndiye kichwa cha familia atende wajibu wake kama inavyoagizwa kwenye vitabu vya Mungu kwani mke yeye anatekeleza wajibu wake kadiri ya maandiko yaani ku .............kwa uchungu.

Jamaa mara kadhaa amekuja kuomba ushauri kwangu huku akitamania sana mambo yangu yanavyoenda vizuri huku tukishirikishana na wife kukokotoa mambo mbalimbali ya familia.

Kiufupi rafiki yangu huyu anaona kuinuka kwa uchumi wa mke wak ndyo chanzo cha familia yake kuingiliwa na migogoro kwani wife keshamwambia kama mbwai iwe mbwai,Yuko tayari kuanzisha safari mpya.

Aloooooo nitaendelea baadae hebu kwanza nimalizie kazi flani hapa then nitaendelea ila najiuliza kukua uchumi wa mke si ni baraka kwa familia iweje igeuke msumari wa moto wa kuyadhuru mahusiano ya wanandoa hata wakati mwingine kuisambaratisha🥱🤔🫢
Best soln ni kuoa mwanamke ambaye anajua kupambana, ana business zake anaendesha... Hawa kidogo huwa wanajitambua hawana ushamba wa pesa.

Lakini hawa ambao wanakuja kutafuta pesa kwenye ndoa, huwa Wana ulimbukeni Fulani.
 
Yaani hawa wavulana wasipoelewa nature kwa mwanamke ikoje watateseka sana.
"Wavulana" ni assumptions tu ambayo binafsi naweza kuita ni kejeri.


Mfano kuna minister mmoja kaolewa na wakili huwezi amini Jana tunaangalia yanga day mara paap kapiga simu!!!!!
Eeenh fulani unajua kama sabuni zimeisha???? halafu usisahau kupitia vitu si unajua watoto wanaenda shule lazima wale??!!!!! jamaa alikubali bila shida mama akaulizwa uko wapi akajibu alipo plus akaomba na hela atumiwe anunue wine jamaa akatuma 50.
Alikata simu tukamuuliza bibi wewe vp??? na uwaziri huo bili uliyotumia hapa kubwa inazidi hata ulivyoomba?????
Haya ni majukumu ya mwanaume anapaswa kuwajibika, ila kama mwanamke ana kazi anatoka anatafuta, hakuna ubaya kusaidiana kwa sababu wote mnajenga familia Moja yenye mustakabali kwa watoto wenu.
Tukajibiwa nyie si mnalea hao wanaume!!!!,,, cheo changu hakihusiani na ndoa yangu mimi kupata cheo sio sababu ya kuacha kuhudumiwa natoa hela nikijisikia.
Ndiyo tunarudi kwenye changamoto za bara la Africa, kukosa viongozi wenye ueledi & maadili katka jamii. Kwa hadhi yake kauli ya aina hii haijengi jamii katka umoja Bali katka ubinafsi na utengano.

Changamoto kubwa ya wanawake wa saivi wanataka wanaume waendelee kubaki kwenye asili, wakati wao walishatoka huko kitu ambacho ni kigumu kwa kizazi Cha saivi.
 
"Wavulana" ni assumptions tu ambayo binafsi naweza kuita ni kejeri.



Haya ni majukumu ya mwanaume anapaswa kuwajibika, ila kama mwanamke ana kazi anatoka anatafuta, hakuna ubaya kusaidiana kwa sababu wote mnajenga familia Moja yenye mustakabali kwa watoto wenu.

Ndiyo tunarudi kwenye changamoto za bara la Africa, kukosa viongozi wenye ueledi & maadili katka jamii. Kwa hadhi yake kauli ya aina hii haijengi jamii katka umoja Bali katka ubinafsi na utengano.

Changamoto kubwa ya wanawake wa saivi wanataka wanaume waendelee kubaki kwenye asili, wakati wao walishatoka huko kitu ambacho ni kigumu kwa kizazi Cha saivi.

Uko sawa
 
kwa akili yako kuna mwanamke anaye muhurumia mwanaume????
mimi msela wangu ananijua vizuri mnoo kiasi kwamba hana neno
Wapo na nimeshuduia kwa marafiki wangu wengi nilikuwa nikisota nao kitaa.Tena ni wale wanawake wanaojua kusoma mood ya kiuchumi ya mme wake, anajua mda huu mmewe hana kitu afanye nini, akiwa na kitu anajua afanye nini, nina mwanangu demu alimvumilia miaka miwili na demu kaumbika haswa ,alikuwa anafanya biashara ya nguo na kila mwisho wa mwezi alikuwa anampa mwana 100-200k,sasa hivi mwana yupo vizuri sana wanakula mema ya maisha.

Tatizo siku hizi wanawake wengi mnanjaa mnoo, mnaendekeza hela mpaka mnakosa utu na ndio maana mahusiano mnayaona magumu. Wazee wazamani walikuwa wakioa wanapewa ardhi wakapambane wenyewe na wanawake walikuwa hawahitaji vitu vingi bali ni mahitaji ya msingi. Mwanamke alikuwa anashiriki kwenye shughuli za kilimo na mme kinacho patikana ni kwa ajili ya familia.

Tatizo lenu mnaendekeza sana hela mpaka mnashindwa kutofautisha mahitaji ya msingi na luxury, mnalazimisha mpaka luxury yawe mahitaji yenu ya msingi na hapo ndipo mnakosa uvumilivu.
 
Tusimuhukumu dada. makubaliano ya mwanzo kabisa ilikuwa yapi?
Biashara ni ya mke au familia????
mikakati ya kusimamia na kuendeleza anayo Nani???
Faida itumike vipi?? akiba iwekwe vp? waliyapanga haya toka mwanzo??
Au mwanaume baada ya kunyonywa boro lake likuwa halija lala vizuri akaweka mpango kazi mapenzi yakiwa mbele
Ndani ya ndoa hamna biashara ya mke wala ya mume kuna biashara ya familia. Ukianza hiki changu, kile changu hamna ndoa kwani mnakuwa mnaishi kwa kuviziana.
 
Wapo na nimeshuduia kwa marafiki wangu wengi nilikuwa nikisota nao kitaa.Tena ni wale wanawake wanaojua kusoma mood ya kiuchumi ya mme wake, anajua mda huu mmewe hana kitu afanye nini, akiwa na kitu anajua afanye nini, nina mwanangu demu alimvumilia miaka miwili na demu kaumbika haswa ,alikuwa anafanya biashara ya nguo na kila mwisho wa mwezi alikuwa anampa mwana 100-200k,sasa hivi mwana yupo vizuri sana wanakula mama ya maisha.

Tatizo siku hizi wanawake wengi mnanjaa mnoo, mnaendekeza hela mpaka mnakosa utu na ndio maana mahusiano mnayaona magumu. Wazee wazamani walikuwa wakioa wanapewa ardhi wakapambane wenyewe na wanawake walikuwa hawahitaji vitu vingi bali ni mahitaji ya msingi. Mwanamke alikuwa anashiriki kwenye shughuli za kilimo na mme kinacho patikana ni kwa ajili ya familia.

Tatizo lenu mnaendekeza sana hela mpaka mnashindwa kutofautisha mahitaji ya msingi na luxury, mnalazimisha mpaka luxury yawe mahitaji yenu ya msingi na hapo ndipo mnakosa uvumilivu.
Unakuta anakulazimisha abadili rasta kila wiki kusuka za mkono hataki
 
Mwanaume kipato cha mwanamke daima hakikuhusu.
Mwanaume simama na majukumu yako otherwise utanena kwa lugha humo ndani ya jela yako.
Watu wameoa mawaziri na bado huduma zipo pale pale na wanaambiwa kabisa baba naomba hela 😆 🤣 baba tuletee vitu friji limekuwa jeupe!!!!
Unatakiwa kujirekebisha. Unayoandika hayaendani na umri wako. Mshangazi wa 40's ulitakiwa uwe na hekima na busara lakini kwa unayoyaandikaga wewe hautakiwi hata kuwa karibu na mabinti wadogo. Very pathetic.
 
Unatakiwa kujirekebisha. Unayoandika hayaendani na umri wako. Mshangazi wa 40's ulitakiwa uwe na hekima na busara lakini kwa unayoyaandikaga wewe hautakiwi hata kuwa karibu na mabinti wadogo. Very pathetic.
Yan huyu siyo mfano kwa jamaa yake tena ukisoma commet zake anamwita kenge mmewake walio pata nae watoto
 
Unatakiwa kujirekebisha. Unayoandika hayaendani na umri wako. Mshangazi wa 40's ulitakiwa uwe na hekima na busara lakini kwa unayoyaandikaga wewe hautakiwi hata kuwa karibu na mabinti wadogo. Very pathetic.

Nikujibu tu!...
Huwezi kunirekebisha kivyovyote vile,, halafu tukivua hizi id..........
Basi tu sina haja ya kujielezea.

Hata hivyo karibu kwenye harakati zangu, nasaidia na kuwalipia mabinti Ada wanaotoka katika mazingira magumu.
 
Hii iende kwa wote mnaoni andikia magazeti na kuni quote.

mtazamo wangu huwezi kunibadilisha kila mtu aishi na afanye anayoweza yeye mwenyewe.

kama mwanaume unataka mkeo alipe bill sijui bla bla sawa.
Mwanamke ukijiona kiranja na kuweza kuhudumia familia ni wewe.

Na kuna kina sie tumepata wanaume wanaojua wajibu wao sawa tunaendelea na maisha yetu.
mi napenda pesa, napenda kuhudumiwa sasa hakuna anayeweza kunibadilisha mtazamo wangu sana sana mtajaa vifua bureeèee!!!!!
Mume wangu kumuita kenge unataka nimuitaje???? wewe inakuuma nn??? niandike jina lake au?!?!!

Siku zote mwanaume anaeongea sana huwa hana lolote yaani mwanaume akiwa hajajipata huwa na kelele nyingi sana.

Sasa mimi huwezi kunirekebisha sana sana kama huna kazi za kufanya endelea kuumizwa na comment zangu siku ukijipata wala hata huziona.
 
Back
Top Bottom