Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,444
- 74,414
Hii imekaa vizuriMwanamke ni chombo cha starehe
Na chombo cha starehe hakitakiwi kumiliki assets maana chenyewe ni asset pia

Si tumemsikia hata Zari the boss lady anavyoalalamika? Na Yule ana hela sasa sembuse hawa akina Ashura wa Mbagala Maji MatituUnayosema yote hayo ni sawa.
Lakini ukiingia kwenye ndoa na ukaleta hayo mambo ndoa utabaki kuishangaa na kutoa milio.
na mwanamke ni mwepesi sana kuchoka huo usawa kwenye kuhudumia familia labda huko ulaya huku bongo utaishia kutukana ndoa
Hii imebami kwenye theory Tu, uhalisia uko hivi the moment Mke wako anapokuzidi pesa Tu umekwishaaaKwa mtazamo wangu, uchumi wa mke kukua haupaswi kuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa; kinyume chake, unatakiwa kuwa fursa ya familia kupiga hatua zaidi. Tatizo linaanza pale pesa zinapoanza kumpa mmoja mamlaka ya kumdhalilisha au kumdharau mwenzake.
Ndoa si mashindano ya nani anaingiza zaidi. Kama mke anapata zaidi, ni baraka kwa familia; kama mume anapata zaidi, ni baraka pia. Cha msingi ni kujenga mfumo wa kifamilia unaowafanya wote wawili waone mafanikio ya mmoja kuwa ni mafanikio ya familia nzima.
Kama jamaa ana roho ngumu achukue ushauri wa Kibaharia. Kwakuwa pesa ya mke inatosha kulipa bills za familia na kusomesha machalii, basi mwamba anatakiwa akimbie familia akajipange na maisha yake kwanza.Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.
Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia hasa kiuchumi.Hongera sana🫲Shida inakuja pale uchumi wa mwanamke unapoinuka ghafla migogoro nayo hiyooo.Mara mwanamke anakuwa na misimamo yake ,hamtii mume na hata wakati mwingine unakuta mume anafanya project zake mke naye anafanya zake, kila mtu anaspend bila kushirikishana as family.
Nalisema hili huku nikirefer experience from my best friend's life style.
Rafiki yangu alioa mwaka 2022 mwezi wa6,mke alikuwa hana kazi akamtupia mtaji wa kueleweka biashara ikazaa maradufu.
Du ghafla si mambo yakabadilika ndani humo, kukurukakara huku na kule wife akaanza makeke. Mara ghafla wife kabadilika , mara hoo wife hamskilizi mume, mara ooh utaniambia nini?
Siku zimesogea biashara ikawezazalisha mara 2 ya anachozalisha mume. Mume alikuwa mwajiriwa so alikuwa na mikopo kadhaa katika hali ya kujiendeleza ikiwa ni pamoja na mkopo wa ujenzi na aliomfungulia mkewe biashara.Aloooo inaniuma mpaka natamani niishie hapa nisielezeee tena ila waswahili husema maji ukiyavulia nguo huna budi kuyooga ngoja tu nimalizie.
Sasa bwana jamaa mambo yakamzidia kwani alikuwa na marejesho ila bado alitakiwa kufanikisha mahitaji yote ya ndani kwa 100% Kwa vile mtaji wa mke uliendelea kukua akamwomba amsaidie kupunguza marejesho aliyo nayo kwenye baadhi ya taasisi.Akamchomolea nje.
Hajakaaa sawa akaambiwa kwanza wewe si type yangu.Du ukizingatia jamaa alikuwa amepeleka watoto medium schools(walikuwa wamepata watoto kabla ya kufunga ndoa hivyo wakati wanafunga ndoa walikuwa na watoto wakubwan wanaosoma) mzigo ulimuwia mkubwa hivyo kuomba msaada wa mkewe huku akiambiwa kwamba mwanaune ndiye kichwa cha familia atende wajibu wake kama inavyoagizwa kwenye vitabu vya Mungu kwani mke yeye anatekeleza wajibu wake kadiri ya maandiko yaani ku .............kwa uchungu.
Jamaa mara kadhaa amekuja kuomba ushauri kwangu huku akitamania sana mambo yangu yanavyoenda vizuri huku tukishirikishana na wife kukokotoa mambo mbalimbali ya familia.
Kiufupi rafiki yangu huyu anaona kuinuka kwa uchumi wa mke wak ndyo chanzo cha familia yake kuingiliwa na migogoro kwani wife keshamwambia kama mbwai iwe mbwai,Yuko tayari kuanzisha safari mpya.
Aloooooo nitaendelea baadae hebu kwanza nimalizie kazi flani hapa then nitaendelea ila najiuliza kukua uchumi wa mke si ni baraka kwa familia iweje igeuke msumari wa moto wa kuyadhuru mahusiano ya wanandoa hata wakati mwingine kuisambaratisha🥱🤔🫢
1 WAKORINTHO 13Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.

Yaani hawa wavulana wasipoelewa nature kwa mwanamke ikoje watateseka sana.Si tumemsikia hata Zari the boss lady anavyoalalamika? Na Yule ana hela sasa sembuse hawa akina Ashura wa Mbagala Maji Matitu
mnajua vizuri tu vitu mnavyovitaka ila mnajizima ufahamu tuaisee pole sana kaka ila wanawake sisi hatuelewi tunataka ninina wanaume pia hamutuelewi mpka siku tunaingia kaburin
Typical 100% women behaviour. Huu ni ukweli ambao Wanaume Lialia hawataki kuukubali wanaishia kutukana Tu.Yaani hawa wavulana wasipoelewa nature kwa mwanamke ikoje watateseka sana.
Mfano kuna minister mmoja kaolewa na wakili huwezi amini Jana tunaangalia yanga day mara paap kapiga simu!!!!!
Eeenh fulani unajua kama sabuni zimeisha???? halafu usisahau kupitia vitu si unajua watoto wanaenda shule lazima wale??!!!!! jamaa alikubali bila shida mama akaulizwa uko wapi akajibu alipo plus akaomba na hela atumiwe anunue wine jamaa akatuma 50.
Alikata simu tukamuuliza bibi wewe vp??? na uwaziri huo bili uliyotumia hapa kubwa inazidi hata ulivyoomba?????
Tukajibiwa nyie si mnalea hao wanaume!!!!,,, cheo changu hakihusiani na ndoa yangu mimi kupata cheo sio sababu ya kuacha kuhudumiwa natoa hela nikijisikia.
Mumeo ana hasaraMwanaume kipato cha mwanamke daima hakikuhusu.
Mwanaume simama na majukumu yako otherwise utanena kwa lugha humo ndani ya jela yako.
Watu wameoa mawaziri na bado huduma zipo pale pale na wanaambiwa kabisa baba naomba hela 😆 🤣 baba tuletee vitu friji limekuwa jeupe!!!!
Na kama ulijichanganya ndio hutoki tena Maana kila ukitaka kufanya maamuzi unaona hasara ni kubwa kuliko faida, unaamua kuugulia ndani kwa ndani, hujafikisha hata miaka 55 unakufa🤣🤣Mumeo ana hasara
Mwanamke asiyekuhurumia hafai hata kidogo kukaa naye
Na uzuri red flag hua zipo mwanzoni ila tunachagua kuvumilia matokeo yake ndoa inabaki ni jela ambayo huwezi kutoka
Kabisa na huu ukweli ukieleweka ndoa zitasimama imara.Typical 100% women behaviour. Huu ni ukweli ambao Wanaume Lialia hawataki kuukubali wanaishia kutukana Tu.
Wanawake hawana shida Sisi Wanaume ndio tunashida kutokuwaelewa.
Kwa sababu hiyo, Mimi wake zangu wapo kwa hili ya kunihudumia na domestic responsibilities, hela Natafuta mwenyewe Maana hata akizitafuta kwangu Hazina faida. I have always to remain as a King, sio unataka umwami na majukumu hutaki kufanya🤣🤣
Wanaume wengi Sisi ni vilazaKabisa na huu ukweli ukieleweka ndoa zitasimama imara.
Wapo wanaotokea kanda fulanifulani mkishafanikiwa tu wanauaMkeo akishapata hela kukuzidi anatamani akuue umpishe
Wanawake wabinafsi sanaWajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu.
Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia hasa kiuchumi.Hongera sana🫲Shida inakuja pale uchumi wa mwanamke unapoinuka ghafla migogoro nayo hiyooo.Mara mwanamke anakuwa na misimamo yake ,hamtii mume na hata wakati mwingine unakuta mume anafanya project zake mke naye anafanya zake, kila mtu anaspend bila kushirikishana as family.
Nalisema hili huku nikirefer experience from my best friend's life style.
Rafiki yangu alioa mwaka 2022 mwezi wa6,mke alikuwa hana kazi akamtupia mtaji wa kueleweka biashara ikazaa maradufu.
Du ghafla si mambo yakabadilika ndani humo, kukurukakara huku na kule wife akaanza makeke. Mara ghafla wife kabadilika , mara hoo wife hamskilizi mume, mara ooh utaniambia nini?
Siku zimesogea biashara ikawezazalisha mara 2 ya anachozalisha mume. Mume alikuwa mwajiriwa so alikuwa na mikopo kadhaa katika hali ya kujiendeleza ikiwa ni pamoja na mkopo wa ujenzi na aliomfungulia mkewe biashara.Aloooo inaniuma mpaka natamani niishie hapa nisielezeee tena ila waswahili husema maji ukiyavulia nguo huna budi kuyooga ngoja tu nimalizie.
Sasa bwana jamaa mambo yakamzidia kwani alikuwa na marejesho ila bado alitakiwa kufanikisha mahitaji yote ya ndani kwa 100% Kwa vile mtaji wa mke uliendelea kukua akamwomba amsaidie kupunguza marejesho aliyo nayo kwenye baadhi ya taasisi.Akamchomolea nje.
Hajakaaa sawa akaambiwa kwanza wewe si type yangu.Du ukizingatia jamaa alikuwa amepeleka watoto medium schools(walikuwa wamepata watoto kabla ya kufunga ndoa hivyo wakati wanafunga ndoa walikuwa na watoto wakubwan wanaosoma) mzigo ulimuwia mkubwa hivyo kuomba msaada wa mkewe huku akiambiwa kwamba mwanaune ndiye kichwa cha familia atende wajibu wake kama inavyoagizwa kwenye vitabu vya Mungu kwani mke yeye anatekeleza wajibu wake kadiri ya maandiko yaani ku .............kwa uchungu.
Jamaa mara kadhaa amekuja kuomba ushauri kwangu huku akitamania sana mambo yangu yanavyoenda vizuri huku tukishirikishana na wife kukokotoa mambo mbalimbali ya familia.
Kiufupi rafiki yangu huyu anaona kuinuka kwa uchumi wa mke wak ndyo chanzo cha familia yake kuingiliwa na migogoro kwani wife keshamwambia kama mbwai iwe mbwai,Yuko tayari kuanzisha safari mpya.
Aloooooo nitaendelea baadae hebu kwanza nimalizie kazi flani hapa then nitaendelea ila najiuliza kukua uchumi wa mke si ni baraka kwa familia iweje igeuke msumari wa moto wa kuyadhuru mahusiano ya wanandoa hata wakati mwingine kuisambaratisha🥱🤔🫢
Rafiki yangu alioa mwaka 2022 mwezi wa6,mke alikuwa hana kazi akamtupia mtaji wa kueleweka biashara ikazaa maradufu.
Mume alikuwa mwajiriwa so alikuwa na mikopo kadhaa katika hali ya kujiendeleza ikiwa ni pamoja na mkopo wa ujenzi na aliomfungulia mkewe biashara.
Ukishajua kuwa tabia ya mkeo ipo hivyo, na kwamba uchumi wake binafsi ukikuwa atakutosa usimpe mtaji wala kumfungulia biashara ya maana. Mfungulie mishe ndogo ndogo kama ufugaji kuku au ng'ombe kadhaa wa maziwa.Mara ghafla wife kabadilika , mara hoo wife hamskilizi mume, mara ooh utaniambia nini?
Mumeo ana hasara
Mwanamke asiyekuhurumia hafai hata kidogo kukaa naye
Na uzuri red flag hua zipo mwanzoni ila tunachagua kuvumilia matokeo yake ndoa inabaki ni jela ambayo huwezi kutoka
Trending ya kupingana na uhalisia ndio inawapotosha na madhara yake ni makubwaWanaume wengi Sisi ni vilaza