Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,462
- 48,408
Ulioa shetani nini?Uzi bora kabisa huu kwa wanaume mimi mwenyewe ishanitokea hii huko nyuma kuna dili la pesa nilipiga kwa kampuni niliyokuwa nafanya kazi kwa muhindi ile pesa nikafanya kosa nikamfungulia biashala kubwa sana ya vipodozi wife maeneo ya kinondoni dah ishu job ikawa kubwa kesi mahakamani nikapigwa segelea miezi 6 kuja kutoka namkuta wife yupo na mtu mwingine na mimba juu