ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
HakikaKama jamaa alitumia baadhi ya assets kama dhamana kwenye hiyo mikopo, aruhusu ziuzwe alipe madeni na aondokana na huyo mwanamke amwachie watoto.
HakikaKama jamaa alitumia baadhi ya assets kama dhamana kwenye hiyo mikopo, aruhusu ziuzwe alipe madeni na aondokana na huyo mwanamke amwachie watoto.
Majukumu yapi? Mwenzio analipa deni ambalo mtaji wake amekupa wewe. Kwanini msisaidiane kumaliza deni ili mwenzio naye apate pa kuanzia?Hapana, ndani ya ndoa kila mmoja asimame na majukumu yake mbona ndoa raha tu!.
Keshaliwa tayari na wafanya biashara wenzakeAnamwambia sio type yake
Na hapo jamaa hajawa na uhakika kama mkewe analiwa.
Sasa Leo dada mtu kaamka asubuhi saa 12 kaenda kazini, anarudi saa 11 jioni, hayo majukumu Mwanamke anafanya saa ngapi? Akarudi amechoka
Majukumu yapi? Mwenzio analipa deni ambalo mtaji wake amekupa wewe? Kwanini msisaidiane kumaliza deni ili mwenzio naye apate pa kuanzia?
Kumbe Ke wote ni chuma ulete tu kwa Me wakijificha kwenye kichaka cha haki sawa ila si katika kusaidiana uwajibikaji kifamilia?Ndio huo ndio ubinafsi wa mwanamke sasa na huwezi kubadilisha kitu.
Kuna kuchungulia fursa ukaona mke anaweza kuifanya vizuri kuliko wewe. Mfano biashara ya nguo za wanawake, vipodozi nk. Kweli jamaa alitakiwa aandike mkataba kuanisha namna madeni yatakavyolipwa. Ni big mistake upande wa mwanaume.Iwe ni mwanaume au mwanake kumpa mtu mtaji ambaye sio ndugu yako unayemjua toka utotoni huo ni uzembe wa hali ya juu
Yaani ukope hela umpe mke mtaji wa biashara
Kwanini hiyo biashara isiwe kwa umiliki wako yeye ukampa kusimamia tu
Pia usiamini story za kusimuliwa mara nyingi wanaongelea upande wa kuonekana wao hawana makosa
Kumbe Ke wote ni chuma ulete tu kwa Me wakijificha kwenye kichaka cha haki sawa ila si katika kusaidiana uwajibikaji kifamilia?
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
Kuanzia sasa Me hatukubaliani na usemi "kumuwezesha Ke umewezesha jamii" bali "Usimuwezeshe Ke ili uokoe jamii".Ndio huo ndio ubinafsi wa mwanamke sasa na huwezi kubadilisha kitu.
Issue ya pesa huwezi kumkabidhi mtu kizembe maana hicho ndo kipimo cha mwisho cha uaminifuKuna kuchungulia fursa ukaona mke anaweza kuifanya vizuri kuliko wewe. Mfano biashara ya nguo za wanawake, vipodozi nk. Kweli jamaa alitakiwa aandike mkataba kuanisha namna madeni yatakavyolipwa. Ni big mistake upande mwa mwanaume.
Tangu mwanzo shida ilikua hapa, sema ni vile mke alikua na shida ya kiuchumi, hakua na option Didododiakaambiwa kwanza wewe si type yangu
Milio ipungue jamani kila mmoja asimame na majukumu yake.Kuanzia sasa Me hatukubaliani na usemi "kumuwezesha Ke umewezesha jamii" bali "Usimuwezeshe Ke ili uokoe jamii".
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
Kiuhalisia Ke 70% duniani wakianza tu kuinuka kiuchumi hufikiria kujitenga na Me ili wawe huru kula bata na watoto na ukijichanganya utatangulizwa kabisa usipopenda kwenda.Kwa mtazamo wangu, uchumi wa mke kukua haupaswi kuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa; kinyume chake, unatakiwa kuwa fursa ya familia kupiga hatua zaidi. Tatizo linaanza pale pesa zinapoanza kumpa mmoja mamlaka ya kumdhalilisha au kumdharau mwenzake.
Ndoa si mashindano ya nani anaingiza zaidi. Kama mke anapata zaidi, ni baraka kwa familia; kama mume anapata zaidi, ni baraka pia. Cha msingi ni kujenga mfumo wa kifamilia unaowafanya wote wawili waone mafanikio ya mmoja kuwa ni mafanikio ya familia nzima.
Kuwapata hao wanawake sasa ndo kamzozo Rico rediThat's why nikasisitiza wanaume watafute mke anayekupenda na anayekuhurumia ambaye anaweza kusimama na ww hata kipindi kigumu na wanawake wa hivi wapo wengi tu na ndo tafsiri halisi ya ndoa
SwadaqtaNingependa kupinga hii dhana kwamba mwanaume ndiye anayepaswa kubeba kila jukumu la kifamilia wakati mwanamke ana kipato chake. Zamani mfumo huu ulikuwa na mantiki kwa sababu wanawake wengi hawakuwa kwenye ajira rasmi, hivyo mwanaume alibeba sehemu kubwa ya mahitaji ya familia. Lakini dunia imebadilika; wanawake sasa wanasoma, wanafanya kazi na wanapata kipato, na hilo ni jambo zuri.
Sisemii kwamba kila kitu katika familia kigawanywe 50/50. Hapana. Mwanaume anapaswa kusimama kwenye majukumu yake na kuwa tayari kuihudumia familia yake. Lakini inapojitokeza changamoto au hitaji fulani la kifamilia, wanandoa wanapaswa kukaa pamoja na kuangalia namna watakavyolitatua kwa kutumia uwezo na rasilimali walizonazo wote.
Pia, tunapozungumzia usawa wa haki, tusichague tu sehemu zinazotunufaisha. Kama tunatetea haki sawa katika elimu, ajira, fursa na kujitegemea kiuchumi, basi tunapaswa pia kuwa tayari kukubali kwamba katika maisha ya familia, kila mmoja anaweza kuwa na nafasi ya kuchangia pale inapohitajika. Hii haimaanishi kwamba mwanamke lazima abebe majukumu sawa na mwanaume, bali ina maana tusitumie “usawa” pale unapokuwa na faida upande mmoja, halafu tunapofika kwenye majukumu tuseme hayo ni ya upande mwingine tu.
Kama tumeamua kuishi kama familia moja na kusema tumeungana kuwa kitu kimoja, basi lengo linapaswa kuwa ustawi wa familia, si nani amebeba asilimia ngapi. Mwanamke ana haki ya kufanya kazi na kutumia kipato chake, lakini anapokuwa na uwezo wa kusaidia familia wakati wa uhitaji, si vibaya kufanya hivyo. Hili si suala la mwanaume kumtegemea mwanamke, wala si suala la 50/50; ni suala la watu wawili wanaojenga familia moja kushirikiana, kujadiliana na kusaidiana kwa ajili ya ustawi wa familia yao.
Kuna baadhi ya wadada wanasema wangekua wanaume wangekua single, sababu wao kutoa hela kwa mtu asiyewadai inawauma sana 😂 leo dadaKiufupi mwanaume yoyote yule asitegemee hela au kipato cha mwanamke maana sisi akili zetu tunazijuwa wenyewe na hatukawii kuchoka.
Nature huhitaji Ke kupigwa mipwipwi tu, kuzaa na kulea watoto akimshauri Me, shida kuna marioo wasiojielewa nakati hata maumbile ya mwili hudhihirisha Ke ni mpokeaji tu si mtoaji.Mume wangu hana hasara hiyo.
Nimeolewa na mwanaume na si mvulana........
Mwanaume anayetimiza majukumu yake ya kiume na mimi niko kutimiza majukumu yangu kama mke katika ndoa.