Uchumi na mapenzi

semmy samson

Member
Dec 20, 2010
85
0
HI every body.

Nilukuwa nikangalia viewers katika topic nying kwenye JF nikagundua viewers walio kwenye Topics za mapenzi ni wengi zaidi ya mara 100 ya walio kwenye topic za Uchumi,

Swali Je ni kwamba mapenzi ni muhimu kuliko uchumi au uchumi tulionao umejitosheleza that means we are SELF SUFFICIENCY IN ECONOMICS. But anyway I need Help WHY?

The man from no where.....
 
Ni kwasabb kwenye topics za mapenzi tunaweza kuandika chochote.
Pili uchumi wengi hatujui.
Tatu ukiandika topic za siasa lazima ulete source.
Yaani kwenye mapenzi tunakurupuka kadri tuwezavyo.
 
Love is as Strong as Death Set me as a seal upon thine heart, as a seal upon thine arm: for love is strong as death; jealousy is cruel as the grave: the coals thereof are coals of fire, which hath a most vehement flame. Many waters cannot quench love, neither can the floods drown it: if a man would give all the substance of his house for love, it would utterly be condemned. Song of Solomon - Chapter 2:10-13
 
Mgogoro wa mapenzi ni mkubwa kuliko uchumi(raha pia nayo kubwa sana). Lakini kwa uchunguzi wangu naona jukwaa la siasa na la mapenzi yana wahudhuriaji karibu sawa.
 
Mgogoro wa mapenzi ni mkubwa kuliko uchumi(raha pia nayo kubwa sana). Lakini kwa uchunguzi wangu naona jukwaa la siasa na la mapenzi yana wahudhuriaji karibu sawa
 
Uchumi umeshikwa na CCM na maswahiba zao, sasa inabidi tu majority tuje kujipoza huku kwa shombo za nonino..
 
refer the song mapenzi ni kitu gani, je kuna song yeyote ya siasa ni ktu gani?????????????
Average tuangalie ni nyimbo ngapi zinaimba kuhusu politician na ni ngapi zinaimba kuhusu mapezi hapo
ndipo utakapojua kuwa love ina kasi ya ajabu na maisha tuliyyonayo ikiondelewa sias bado dunia yaweza kwenda ila love ikiondolewa
all t he people will be frustuated no one will stand behind siasa mzeeeeee , loveeeeeeeee numberrrrrrr one
 
nani anataka stress bana, ukienda jukwaa la uchumi unakutana na umeme kupanda 18%, noti mpya kuzinduliwa n.k.
Pia ukumbuke uchumi bila mbinyano ni sawa na bure
 
hakuna asiyepitia kwenye mahusiano ndio maana wapwa ni wengi kwenye jamvi hili.uchumi ni wachache sana wanaouelewa
 
Nimekueleweni waungwana ila MTU ANAWEZA KUFANYA MAPENZI ASILE NA AKAISHI?

The man from no where.......
 
Ni kwasabb kwenye topics za mapenzi tunaweza kuandika chochote.
Pili uchumi wengi hatujui.
Tatu ukiandika topic za siasa lazima ulete source.
Yaani kwenye mapenzi tunakurupuka kadri tuwezavyo.

Kwenye mapenzi uzushi, uongo, na udaku mwingi sana.
 
Nimekueleweni waungwana ila MTU ANAWEZA KUFANYA MAPENZI ASILE NA AKAISHI?

The man from no where.......

E bwana,hebu usituharibie jukwaa letu na maswali yako yasiyohusiana na mapenzi,na urudi hukohuko ulikotoka kwa wachumi wenzio,kwanza uchumi wenyewe mnaoujadili uchumi gani wakati mikataba ya kuuza nchi yenu hata wabunge wenu hawaijui.Walioshikilia uchumi ni wasiri utafikiri wafuga fisi,hapo utajadili nini sasa?
 
Ni kwasabb kwenye topics za mapenzi tunaweza kuandika chochote.
Pili uchumi wengi hatujui.
Tatu ukiandika topic za siasa lazima ulete source.
Yaani kwenye mapenzi tunakurupuka kadri tuwezavyo.

Source?
 
nani anataka stress bana, ukienda jukwaa la uchumi unakutana na umeme kupanda 18%, noti mpya kuzinduliwa n.k.
Pia ukumbuke uchumi bila mbinyano ni sawa na bure

Mapenzi ni kasumba ( kilevya/bangi) ya kupumbaza watu wasione mambo makubwa zaidi na hivyo kujipa moyo kuwa kila kitu kiko sawa.

Endeleeni kujiliwaza wakati wengine wakipiga hatua kwenda mbele.
 
heee subhanallah!!! kumbe na we paka mweusi nawe umo kwa maneno????? leo nimekusoma,,,itabidi nianze kukuheshimu wallah....
E bwana,hebu usituharibie jukwaa letu na maswali yako yasiyohusiana na mapenzi,na urudi hukohuko ulikotoka kwa wachumi wenzio,kwanza uchumi wenyewe mnaoujadili uchumi gani wakati mikataba ya kuuza nchi yenu hata wabunge wenu hawaijui.Walioshikilia uchumi ni wasiri utafikiri wafuga fisi,hapo utajadili nini sasa?
 
Huwa nashangaa sana wa2 kulalamika wakati hamuishi kuchungulia humu, kila achunguliae MMU anapenda vinavyopostiwa humu halaf mnaanza kujishaua oh kwa jukwaa la MMU wa2 wengi wakati na ww ni mmoja wao ktk kuongeza hiyo idadi. Mimi sijawah kabisa kuchungulia jukwaa la siasa wala uchumi kwan spendi wala sielewi kwanza nchi yenyewe inaendeshwa na wa2 25 tu halafu niende nikajitie steress kule mwe mmbanu!!!
 
What are the motives behind all hard workers and those who are contributing much in our economy?
If you got answers, that will be why we have great number of viewers in that forum.
 
Back
Top Bottom