Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source?
Mkuu kuchangia mada kwenye uchumi lazima uwe na kaufahamu kidogo ka uchumi, na siasa vilevile but kwenye mapenzi kila mtu anaelimu ya kuzaliwa.HI every body.
Nilukuwa nikangalia viewers katika topic nying kwenye JF nikagundua viewers walio kwenye Topics za mapenzi ni wengi zaidi ya mara 100 ya walio kwenye topic za Uchumi,
Swali Je ni kwamba mapenzi ni muhimu kuliko uchumi au uchumi tulionao umejitosheleza that means we are SELF SUFFICIENCY IN ECONOMICS. But anyway I need Help WHY?
The man from no where.....
Hapo chacha...kilichomtia min....ge ni nini mpaka kuja kuchungulia huku? Hahaha umenichekesha sana.Huwa nashangaa sana wa2 kulalamika wakati hamuishi kuchungulia humu, kila achunguliae MMU anapenda vinavyopostiwa humu halaf mnaanza kujishaua oh kwa jukwaa la MMU wa2 wengi wakati na ww ni mmoja wao ktk kuongeza hiyo idadi. Mimi sijawah kabisa kuchungulia jukwaa la siasa wala uchumi kwan spendi wala sielewi kwanza nchi yenyewe inaendeshwa na wa2 25 tu halafu niende nikajitie steress kule mwe mmbanu!!!
HI every body.