Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Ungecheki na Manara mtaalam wa kuoa na kuacha.......atakuoa baada ya miezi mitatu anakuacha then unakuwa umetimiza lengo la ulishaolewa..then unarudi kwa mshkaji
 
Huyu mtu gani anapesa za kusomesha ndugu wa mchumba wake lakin anasubiri kujipanga ili azae naamini atakuwa na shida ya uzazi nendeni kwa Dr mkapime. Menopause itakukuta
 
Natafuta mke awe na jina la Nusratt Mohamed tu ๐ŸŽ
 
kwa hiyo ulikuwa unajiuza kwa miaka 6 hali ya kuwa uko kwenye uchumba wa miaka 11? inaelekea jamaa hakuoi na sababu iko wazi kabisa..
 
Bak hapo hapo ndoa ngumu utakuja kushangaa ndoa yenu ikadumu mwezi tu
 
Mambo ya birdman na Toni Braxton hayo,

Wamekaa Uchumba sugu miaka 16,

afu ndoa wamefunga mwaka huu na imedumu mwezi mmoja TU,

MWANAMKE anadai kaichoka,wagawane nusu nusu ya Mali za birdman๐Ÿ˜‚
 
Kuna mkao bado ujamkalia ndio maana anakwepesha ndoa.............anaona bado mapigano mazuri huna
 
Hahitaji mtoto mpaka tujipange.
Tunaishi maisha mazuri tu.

Mnajipanga mnaishi wote miaka yote hiyo.

mnatumia kalenda?
yani naturali kabisa hamna siku mmekosea kalenda kwa miezi 132?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ