6Minimum inatakiwa miez mingap?
Hahahhahahhahahha ulivyojibu utadhani umeulinzwa as individual [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata najua basi, ngoja waje wajuvi wa hayo mambo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani tunda mshamenya tayar
Acha kumtisha mwenzio..maisha ya ndoa hayana formula..wapo waliokuwa na uchumba sugu wanalia na wapo waliokaa muda mchache wana furaha....and vice versaBaada ya miezi kadhaa uje hapa unalia. Huo ni mhemko tu mapenzi ya awali. Chunguzaneni kwanza kila mmoja ajue na mapungufu ya mwenzake na kama anaweza kuyavumilia au la. Hapo kila mmoja atakuwa na maamuzi sahihi kutambulishana au la.
Naomba nije PM unipe sampo ya barua hiyo
Hahaha we nibanie tu[emoji23] kagugo bhna