DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Unatakiwa ukatae hizo pilika pilika kwa sababu huzipendi sio kwa sababu akiba haitoshiHuyo mzee wake namkubali kwa 100%
Kuhangaika na sherehe za harusi Hakuna Maana Wala mantiki yoyote, Ni uupuzi tu kwangu!!
Hata Mimi nikifika hatua ya kuoa Basi sitahangaika na upuuzi wa sherehe
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia

)