Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 616
- 1,116
😂 😂 😂 😂 😂Kumbeee
😂 😂 😂 😂 😂Kumbeee
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Hata Mimi mwana Suaso nategemea kuoa bila harusi au sherehe yeyote Ile .CarloJesus, Huyo mzee wake namkubali kwa 100%
Kuhangaika na sherehe za harusi Hakuna Maana Wala mantiki yoyote, Ni uupuzi tu kwangu!!
Hata Mimi nikifika hatua ya kuoa Basi sitahangaika na upuuzi wa sherehe
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Hata mimi ni mwana SUASOHata Mimi mwana Suaso nategemea kuoa bila harusi au sherehe yeyote Ile .