ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 573
- 903
teh teh teh si ndio wanasema kuchangamkia fursa iliyopoHahahahaaa, umereply faster hadi raha!
teh teh teh si ndio wanasema kuchangamkia fursa iliyopoHahahahaaa, umereply faster hadi raha!
Natania, hata Mimi sipendi kufanya mapinduzi. Ila tu shemeji yenu aelewe kuwa harusi ni masaa kadhaa tu, asikubali harusi imuharibie ndoa. Kila laheri kwake, Mungu amfungue akili, aone utukufu ujao.
Hapo amepiga picha harusi sio ndoa.Ukute mwenzie kasubiri ndoa na alikua anaipigia picha ndoa flani hiviii halafu Leo umwambie hamna sherehe weeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubaliane wafuate mawazi ya Mzee, mimi pia siafiki sherehe, zinagharimu sana na kulazimisha watu wakuchangie, mnabaki na madeni kibao, hivi inashindikana kwenda kanisani na baada ya hapo chakula cha jioni nyumbani au mahari Fulani bila sherehe kiasi hicho! Ingekuwa Mimi akikataa nampiga chini
Ndoa hajakataliwa...mzee kasema Yupo radhi ifanyike hata jumuiyani nyumbani kwao,na habari ya chakula atasimamia kifamilia anavyojua yeye kama yeye,anajivuna atachinja hata ng'ombe
Ila Kama wanataka pia wanaweza kufunga wao peke yao bill watu wengi ye atafanya arrangements na paroko...anasema fahari Ni USHETANI na kujikweza na laana huanzia hapo kwa sababu muda huo Kuna wengi wanateseka,hataki hayo yamkute kijana wake,na jamaa Ni daddy's boy...mzee kafikia Hadi ku point ndoa kadhaa zilizovunjika Kama mfano hai kwa mshikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lakini si wote,Kuna wengine hili tuu ndo furaha yao...Kama wengine football,kahawa,kazi(workholic) nk
Sent using Jamii Forums mobile app
I wish huyu mzee angekuwa baba yangu, tungeelewana sana aisei.Wasalaam
Iko hivi ...Ni rafiki wa karibu wa familia yetu,ameajiriwa na taasisi ya fedha mwaka wa tatu huu Yuko kwenye mahusiano na mdada waliekutana chuo...Ni muda kiasi tunamuita shemeji yetu
Jamaa anataka kutoa mahari,lakini mwanamke amegoma anasema mpaka jamaa akubali sharti la kufanyika harusi
Familia ya jamaa yetu,Ni watu wenye uwezo wao kiasi,ila mzee wao Ni mtu wa kuchukia Sana Sherehe na harusi,anasema atachangia misiba na majanga mengine sio mambo ambayo mtu anayapanga mwenyewe halafu anasumbua watu kwa michango,ndivyo anavyishi
Dada za mshikaji wameozwa Tena kwa mahari ndogo,harusi hakuhudhuria,ila baada ya hapo aliwapa kiasi Fulani (kikubwa) Kama Cha kuanzia maisha,imekua utaratibu wake
Na mwaka Jana Kaka yake mshikaji kaoa kwa mtindo huo huo...alienda half day jmos...akatoka kuwaambia staff wenzie naenda funga ndoa ,hawakuamini,lakini jamaa alifunya ndoa,na home walikuja watu wachache tuu kwa ajili ya evening dinner
Jamaa anasema sio kuwa Hana uwezo,ila Ni namna Anaona atamhuzunisha mzee wake ..mzee wake kamwambia mikosi na mambo ya shetani huanzia kwenye tafrija/Sherehe...anasema Ni kujikweza...jamaa atanye Nini tukivaa viatu vyake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe utanikosa kwa mtindo huhuu..!Ukute mwenzie kasubiri ndoa na alikua anaipigia picha ndoa flani hiviii halafu Leo umwambie hamna sherehe weeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa na harusi ni vitu viwili tofauti.Ukute mwenzie kasubiri ndoa na alikua anaipigia picha ndoa flani hiviii halafu Leo umwambie hamna sherehe weeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusiwashambulie mabinti tuu ...wako wanaume pia hi kitu wanaipenda...yaani harusi,kwani hujasikia kuhusu beg party (sijui Kama nimepatia,Ndoa na harusi ni vitu viwili tofauti.
Kuna mabinti lengo lao kuingia ktk NDO ni wanataka HARUSI tu, na sio hilo agano lenyewe la ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
)