Uchumba kuvunjika ...kisa HARUSI

Uchumba kuvunjika ...kisa HARUSI

Alijua kabisa maana ilishapita ya kwanza akalilia nikamwelezea kuwa sipend na hainahaja ya party nikamwambia tuta toka diner na ikaisha

Sasa iliofata ikawa kero yan akaanza kufananisha mahusiano ya wengine na yetu kuwa mbona wakina nan walifanya sijui wakina walifanya ahhh nikamwambia kwendraaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi alishindwa vigezo na masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie mshkaj wako huyo shemeji yenu ni bi harusi sio mke....
Usawa huu upewe milion kadhaa za kuanzia maisha na kutofanya harusi bora nisifanye tu
 
Huyo mzee nimempenda. Kama bibie anataka sherehe wafanye kwao send off.
 
Wasalaam

Iko hivi ...Ni rafiki wa karibu wa familia yetu,ameajiriwa na taasisi ya fedha mwaka wa tatu huu Yuko kwenye mahusiano na mdada waliekutana chuo...Ni muda kiasi tunamuita shemeji yetu

Jamaa anataka kutoa mahari,lakini mwanamke amegoma anasema mpaka jamaa akubali sharti la kufanyika harusi

Familia ya jamaa yetu,Ni watu wenye uwezo wao kiasi,ila mzee wao Ni mtu wa kuchukia Sana Sherehe na harusi,anasema atachangia misiba na majanga mengine sio mambo ambayo mtu anayapanga mwenyewe halafu anasumbua watu kwa michango,ndivyo anavyishi

Dada za mshikaji wameozwa Tena kwa mahari ndogo,harusi hakuhudhuria,ila baada ya hapo aliwapa kiasi Fulani (kikubwa) Kama Cha kuanzia maisha,imekua utaratibu wake

Na mwaka Jana Kaka yake mshikaji kaoa kwa mtindo huo huo...alienda half day jmos...akatoka kuwaambia staff wenzie naenda funga ndoa ,hawakuamini,lakini jamaa alifunya ndoa,na home walikuja watu wachache tuu kwa ajili ya evening dinner

Jamaa anasema sio kuwa Hana uwezo,ila Ni namna Anaona atamhuzunisha mzee wake ..mzee wake kamwambia mikosi na mambo ya shetani huanzia kwenye tafrija/Sherehe...anasema Ni kujikweza...jamaa atanye Nini tukivaa viatu vyake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo binti anaijua harusi? au anataka sherehe ya ndoa? Kuna harusi Siku hizi?

By the way, sioni sababu na umuhimu wa hizo sherehe. Ni gharama zisizo msingi.
Nyingi za hizo ndoa za sherehe za sifa huwa hazidumu sana. Nina mifano mingi tu.
Namkubali sana huyo mzee kwa 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio familia ningeolewa mimi
sipendi sherehe nikiwa kama mimi ndie mlengwa sipendi kabisa.
-kujaza jaza mawatu kibao yote yanakutazama siwezi kwakweli
-kila mualikwa camera man nachukia hili jambo mno
watu mmealikwa kaeni tulieni
-waalikwa muda wote wanachat
Tukikusanyana familia zetu mbili tukaenda hotelini tukala dinner imetoka hio wazee wangu wanachukia hii kitu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa afanye hivi, amwite binti/mchumba wake amweleze kwa hekima ya kimapenzi. wafunge ndoa maisha yaendelee.

Hata hivyo maisha yao ndio yatakayoakisi maana halisi ya hiyo ndoa na sio harusi.
 
Nakupenda bure, mimi Pia mambo ya kujazana miwatu kibaaao inakukodolea macho hapana
Hio familia ningeolewa mimi
sipendi sherehe nikiwa kama mimi ndie mlengwa sipendi kabisa.
-kujaza jaza mawatu kibao yote yanakutazama siwezi kwakweli
-kila mualikwa camera man nachukia hili jambo mno
watu mmealikwa kaeni tulieni
-waalikwa muda wote wanachat
Tukikusanyana familia zetu mbili tukaenda hotelini tukala dinner imetoka hio wazee wangu wanachukia hii kitu mno

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anajitambua kaka nakuomba achana na mambo ya harusi hayana inshu siku hizi....

Huyo dada kuna lake jambo analolitaka inawexekana kuna watu anataka awafumbe mdogo eti kaolewa kwa harusi kubwa ya kifahari

NARUDIA WANAWAKE SIO WATU WAZURI KABISA KAMA HATAKI ...SOGEA TUKAE OFF U GO MWAMBIE ....
watu wanawaza maisha sio harusi

Harusi ni siku moja tu hujajifunza kwa yaliyotokea kenya ??? Ya ninj hayo yote ...kama hataki ...mruhusu amtafute aliye sahihi kwake

sent from toyota Allex
 
huyo mke hafai.. atakuja kumsumbua mbeleni..

wanawake wengi wenye tabia za kupenda harusi kubwa ni wapenda show offs na hata bikira huwa hawana maana waliipoteza kwenye show off za chips mayai ujanani

hapo anakomalia harusi ya gharama ili mashost na maex wake awakomeshe kwa photoshoots za harusi.. hawazi hata mtakula nini mbeleni
Kaka njooo usome ushauri wa bure kabisa na ufanyie kazi

sent from toyota Allex
 
Back
Top Bottom