Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
2020 ni kasheshe Kura zitatoka chattle tu!!!!Nyingi ya hizo kadi zimechomwa kwenye nyoyo za raia wa nchi ya ahadi,watabainisha hasira zao miaka 3 na miezi minane ijayo.
Hakuna neno la huruma litakaloweza kubadili msimamo,hatatokea kama ambavyo hajatokea kiongozi yeyote wa kiimani atakaesikilizwa,ni HAPANA TU itatumika.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Zimeisha labda tuchome na kofia sasa
Mjinga kweli wewe......Hahaha Akili ndogo+stress za kupiga chini na mume mwenza =Mataputapu
Nyeee kwa lipi2020 wote hao watakata mpyaaaa
PumbufHahahahah
Unawapa za uso
Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.
Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.
Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.
Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine.
Leo unafikiria kama nyani....Hahahaaa hili la njaa nalo bana...
Hao wanaolialia eti kuna njaa hebu jaribu kuuliza nani kati yao hajala leo na hutompata hata mmoja.
Tena wengine na mijitambi yao unawakuta huku kwenye mitandao wakidai eti kuna njaa.
Toka lini kwenye njaa ukakuta watu wana mijitambi?
Watu wazushi mno aisee.
Na chuki zao kwa Magu ndo zinawafanya wawe maju.ha kabisa.
MangePia yupo kule kushugulikia na suala la kupandikiza maana kwa njia za kawaida AMESHINDWA..!
MchewweTangu lini operesheni yoyote iliyosimamiwa na mama wa nyumbani ikawa na tija hapa nchini. Tafadhali taja moja tu!
PumbafuSasa hivi wana kaupepo ka Njaa
Baada ya Saa8
Nako katapotea
Awamu hii Kick zitafukuliwa mpaka wachoke wenyewe
Jamaa ndio habadiliki kabisaa
!!
Yaani ngoma wapige wao
Nakuicheza wao!!!
MAGU KAZA KAZA BABA
Umeelewa ulichokiandika?Pumbuf
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko[emoji23] [emoji23]
MjingaYeye Mungu alete mvua au ukame!!
Ukame unahusiana vipi na kadi za Ccm!!
Mtuambie mmechoma kadi ngapi!!?
Nimekutukania had mamakoNyama hakuna kwenye mabucha?
Magengeni mboga hakuna?
Wewe umeshinda njaa leo?
Kwamba wewe ni musenge ndio nimeelewaUmeelewa ulichokiandika?
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nimekutukania had mamako
...and still counting!1. Tatizo Ni Mfumo Siyo Mtu
2.Magufuli Anatekeleza Sera Zetu
3.Magufuli Hajui Kiingereza
4.PhD
5.Magufuli Safiri Nenda Nje Ya Nchi
6.Bunge Live
7.Mikutano Ya Siasa
8.Naibu Spika
9.Ukuta
10.Ben Saanane + Miili Ya Pugu
11. Lema
12. Njaa ( Hili Nalo Litapita )
Wakati hatukuwa na ndege zetu watu waliilaumu serikali ya CCM.1. Tatizo Ni Mfumo Siyo Mtu
2.Magufuli Anatekeleza Sera Zetu
3.Magufuli Hajui Kiingereza
4.PhD
5.Magufuli Safiri Nenda Nje Ya Nchi
6.Bunge Live
7.Mikutano Ya Siasa
8.Naibu Spika
9.Ukuta
10.Ben Saanane + Miili Ya Pugu
11. Lema
12. Njaa ( Hili Nalo Litapita )