'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

wameichochea serikali yetu kupitia IRENE ISACKA former stanbic bank employee, wachukue fao la kujitoa ili uchaguzi uwe mteremko 2015, baada ya kugawana kodi zetu! laanakum CCM! kwanini wanairuhusu M4C kuwa na ushawishi mkubwa hivi???
 
watu wengine bado wana hangover za idd
kuandika habari zisizokuwa na supporting evidence ni sawa na uchizi
nadhani wewe ni mojawapo ya vilaza waliafaulu kwa kudesa
 
wamemchochea jk akapige picha na 50cent, then akasahau negative, ni juzi juzi alisafiri tena kwenda kuchukua negative! Uda M4C hawafai wallah!
cacico wamechochea mpaka na wewe umekuja kucomment huku kwenye siasa
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA ni noma!!!!!
Wamechochea inflation
Wamwchochea ukame
Wamechochea ukosefu wa ajira
Wamechochea kufa kwa viwanda
Wamechochea kuhamishwa wazawa migodi kupewa wagawa noti
Wamechochea mataji kukwepa kodi
Wamechochea mpaka nchi ikawa na maisha magumu bora
Wamechochea weeeeeeeeeeeeee wakachochea wakachochea mpaka waziri fulani akashikwa na uchochezi huo na kusema madaktari bingwa si muhimu kwa sasa
Uchochezi wa hawa jamaa ni wa kidoti com, mpaka mawaziri wanatembea na SMG!!!!!!!
Kweli CHADEMA ni noma.
 
Aiseeeee, wee mdada una akili sana hata nashindwa kukufananisha, safi sana. Mimi nimekuelewa vizuri sana na ningependa uongeze kasi ya kukemea uchochezi wa CDM.
Tuko pamoja uda, maana maendeleo yoooote haya yanachochewa na CDM na hatiamaye wamemchochea Jaji wa mahakama ya kanda ya Tabora kubatilisha matokeo ya ya ubunge wa jimbo la Igunga,
Pipooooooooooooooooooooooooooooz
 
Ukiona watu wanachochewa na wanakubali ujue wanampenda mchochezi
 
CDM Wamemchochea rais kwa wanachi mpaka anashidwa kutulia nyumbani .
 
Pia walimchochea Adeni Rage kupanda na bastola kwenye campaign Igunga!
 
Mbona una panic mkuu! Jaribu kutafakari utaelewa

cdm wamechochea makarani wa sensa kutolipwa pesa zao!

huu ni upuuzi kabisa.
Ujinga kama huu ndio unaosababisha vyama vingine kikiwemo ccm kuzidi kuporomoka.
hoja hamziwezi mlichobakia nacho ni kutafuta maneno ya chokochoko,
na wananchi wameshawaelewa wala hawawsikilizi tena.
 
Ukiona watu wanachochewa na wanakubali ujue wanampenda mchochezi

naona idadi ya wanaochochewa inazidi kukua,hii ni ishara kuwa uchochezi wa haki unafanya kazi.chadema endelezeni uchochezi!
 
Ukizisoma comments zote za post hii, siyo rahisi kumuona Mkigoma, Ritz, Rejao, nguu097 ,Nape na wengineo.

utawaonaje wakt!..ata wajna wanajua madudu yanayo fanywa na ccm..wanayajua ila ni kburi cha vbosho wavyo pewa kupga domo umu.
 
Ukizisoma comments zote za post hii, siyo rahisi kumuona Mkigoma, Ritz, Rejao, nguu097 ,Nape na wengineo.

utawaonaje wakt!..ata wajna wanajua madudu yanayo fanywa na ccm..wanayajua ila ni kburi cha vbosho wavyo pewa kupga domo umu.!!
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Tukiwaachia mtatumaliza hatuwaachi mpaka mkata roho na kupumzika kwa amani Magamba wakubwa nyie mmeifanya tza ni ya baba zenu
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Nilitaraji kukutana na hoja za msingi kumbe matope ya kimagamba tu? Hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kwa kutokukubalika kila ujinga mnaoufanya. Nakupa pole sana UDA na wote waliokutuma wenye mawazo dhaifu yaliyozaa serikali dhaifu.
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Vipi kuna mtu kifuani nini?
 
Huu ni mtazamo wa wavvu wa kufikiri, na umethbitisha hapa jamvini kuwa ww n mvivu wa kufikiri Mwalimu tangu 2007 walitishia kugoma, madaktar tangu 2001 wanagoma. Je ilikuwa ni chadema au kwa sababu chadema wamevunja ngome za magamba. Au n wafanyakazi kuchoka dhuluma kwa sababu wakubwa wanafaidika wao wanaumia.

Kiongozi huyu hataki majibu ya ukweli anapakaa lipu stiki hapo,kujiangalia kwenye kioo na kurudisha nywele nyuma. Labda umshauri namna ya kurudishia kope yake iliyodondoka. S.H Amoni mpo?
 
Back
Top Bottom