Nteko Vano
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 434
- 113
Duuuuuuuuu. Hawa CDM noma wamechochea serikali ianze kukopa mishahara ya watumishi kutoka benk binafsi, wamechochea mabilioni kufichwa uswiswi. Yaani nomaaa, wamechochea NSSF kuanza kufilisika, wamechochea elimu ya tanzania kushuka hadi mwanaasha kazungusha......