'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

'mlichochea' kina mgaya yakapita
'mkachochea' wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
'mkachochea' wamachinga wa mbeya mkayamaliza
'mmechochea' wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa 'kuchochea' waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

hebu ona sasa haya ya uamsho na shekh Ponda!

MPUMBAVU mkubwa, unapoongelea masuala ya siasa usipende kuhusisha migomo ya vyuo vikuu na uchochezi wa wanasiasa Kwani hiyo Chadema ilituletea hela tuandamane?. migomo ya vyuo inasababishwa na ucheleweshwaji wa pesa ambao husababishwa na serikali iliyopo madarakani sasa uhusiano wa pesa kucheleweshwa na serikali na Chadema kusababisha migomo uko wapi? Mara ngapi pesa ikija kwa wakati umeshawaona wanafunzi hawa wakiandamana? Acha kuishi kwa kufikiria ukitumia matako
 
Ha ha ha!isome thread yote mkuu!
 
Japo hii thread ni ya muda mrefu ila ilipoletwa inaonekana haka kalikuwa kametoroka kwao halfu kakakopwa baada ya kutumika ucku kucha.
 
Duh! Ulikuwa na lengo zuri la kueleza uchochezi wa chadema lakin kwa bahati mbaya sana huwezi kuunda na kuwasirisha hoja ikaeweka vizur jipange upya kabla ya kuropoka.
 
We ndo hujamwelewa jipange au cdm wamekuchanganya Sana na wewe yaani hawa cdm bana
 
Back
Top Bottom