'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

Chadema wakasema liwalo na liwe, wakasema hawataki kura za wafanyakazi, wakasema wanafunzi wanapewa mimba kwa kiherehere chao, wakasema hawajui kwanini tz ni masikini, na hawakuishia hapo wakasema wafanyakazi wakigoma au kuandamana watashuhulikiwa na ikibidi wagawane majengo ya serikali yani moi muimbili na kwa kova central au segerea Chadema Wana chafua Hali ya ccm hawana Hata huruma Dah




mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
 
hawa chadema wamechochea hadi maisha yakawa magumu.
Kama haitoshi wakchochea chenge akwapue hela ya rada
wakachochea watu wachukue hela za epa
wakachochea "mwenye nyumba" achukue suti 5 ili auza eneo la ngorongoro
waka chochea hadi rada ya jnia haifanyi kazi
waka cyhochea dk ulimboka mabwepande
waka chochea hadi dowans/richmond waje wachukue mabilion
waka chochea mgao feki wa umeme
waka chochea adi twiga waka toroshwa

hawa chadema bana sijui ni vipi<

wakabadilisha na jina la pesa ya rushwa ya rada ikaitwa chenge ya rada
 
great thinkers fungukeni!mbona mwaniangusha?

wanakuangusha? Why when and how wewe bint hata walimu wanaogoma kenya sasa ni chadema hii jaman chadema mpaka kenya. M4c tunatisha.
 
hapo hakuna cha chadema wala mama yake chadema ni wananchi wameamua,ila tutaishia kukilaumu chadema,
 
mlichochea kina mgaya yakapitamkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapitamkachochea wamachinga wa mbeya mkayamalizammechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.wasira alishawaonya bado hamusikii tu!naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita m4c...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
hiki chama hakifai na hakiwezi kutuongoza watanzania..ndicho chama kinachochochea vurugu na uvunjifu wa amani na usalama wa wananchi..viongozi wake ni wanafiki ndio wataotuuza sisi watanzania na nchi yetu kwa taama ya fedha ..na wamepewa fedha na wazungu wavurugu amani ili watoroshe vyema mali za nchi...na hakuna kiongozi katika cdm ambaye anaweza kuwa rais na akatuongoza sasi watanzania.
 
Inamaana anything happening lazima Chadema wachochee? Hao watu hawana akili ya kufikiri na kuona wananyanyaswa? Kama wanashawishika inamaana sababu za kutumia zipo! If hey were happy and satisfied Chadema wangekosa pakuanzia
(Provided that Xhadema is really behind it, which I am not sure of). Halafu mengine wanachochea CCM wenyewe (Vita na Malawi), then you blame it on Upinzani, acheni hivo bwana, mnajiaibisha!
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Wamemchochea mpaka Rais Joyce Banda wa Malawi yatapita!!!
 
great thinkers fungukeni!mbona mwaniangusha?

Umesomeka sister, hoja yako ina nguvu. Wacha kwanza tuwatazame slow thinkers wanavyobwabwaja.
icon10.png
 
yaani hii mibaba ya chadema ina roho za kwa nini ile mbaya.

tena inamchochea raisi asafiri mara nyingi, inawachochea vigogo wa ccm waibe pesa nyingi ila wanawafuraisha watanzania kwa kuwaunganisha na kujua haki zao na hapo ni pazuri sana ila mnasahau kwa sababu bunge dhaifu, mahakama dhaifu, na dola dhaifu na wananuka rushwa hata nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom