KWAHIYO PIA CDM WAMECHOCHEA-
1. akina maige na wenzake kufanya ufisadi
2. kuuzwa kwa sehemu ya mbuga ya Loliondo amabapo ukiingia tu unaambiwa karibu katika falme za kiarabu
3. wamechochea maisha duni kwa kila mtanzania
4. wamechochea wizi wa mali za umma
5. wamechochea ufisadi wote nchini
6. wamechochea babu wa Loliondo kuua watanzania kwa madai kuwa amepata dawa ya kuponya kisukari, tb, ukimwi, kansa n.k
7. wamechochea mabomu ya mbagala na gongo la mboto
8. wamechochea Kamati ya Bunge ya nishati na madini kutajwa kula rushwa hata kuvunjwa
9. wamechochea nguzo za umeme za tanzania kununuliwa na Tanesco kama nguzo za kutoka Afrika kusini au kenya
10.wamechochea ufisadi wa wizara ya afya
mm niwashauri ccm mjue kuwa cc wananchi sio wajinga na wala hatudanganyiki. hizo ni dhambi zenu wenyewe kwa kushindwa kuwajibika kwa wananchi. ccm ufisadi mliouasisi utawatokea puani, uzuri tunajua mambo yenu, kitakaposhinda chama chochote cha upinzani, tutamkamata mmoja mmoja na kuwafilisi mali zote, hatuna muda wa kupoteza kuwapeleka mahakamani mkatupotezee karatasi, wino na kodi nza wananchi.
kama hamuamini jiulizeni nn kiliwatokea Uchaguzi Mkuu wa 2010
Msingechakachua nnn kingetangazwa? mnajuaa saanaaa.................