Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Hivi hawa CHADEMA wanataka nini????!!! Wamemchochea Dr. Ulimboka mpaka kaiumbua serikali yetu tukufu kwa kulifungia gazeti la MWANAHARISI.
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Wakachochea mpaka binti UDA hajaolewa mpaka leo!
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita m4c...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
Unapoandika kitu kama hiki lazima uwe na kumbukumbu za nyuma. Mlisema CHADEMA ni chama cha Wakristu sasa inakuwaje leo hii wawe CHADEMA hao hao ndio wawachochee waislamu wafanye fujo kam hizo ulizosema? Ukiwa unafikiri cm 50 usiwe unaongea vitu vya cm 200.