'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

hawa chadema wamechochea hadi maisha yakawa magumu.
Kama haitoshi wakchochea chenge akwapue hela ya rada
wakachochea watu wachukue hela za epa
wakachochea "mwenye nyumba" achukue suti 5 ili auza eneo la ngorongoro
waka chochea hadi rada ya jnia haifanyi kazi
waka cyhochea dk ulimboka mabwepande
waka chochea hadi dowans/richmond waje wachukue mabilion
waka chochea mgao feki wa umeme
waka chochea adi twiga waka toroshwa

hawa chadema bana sijui ni vipi<

SIKU YA KUFA NYANI MAJANI HUTELEZA;sasa wanatafuta pa kushika.!!!!
 
wamekupuuza kwasababu uliyoongea kwa mtu mwenye akili zake anajua wewe umechochewa na mme wako anaye fanya kazi ccm. umekuja kupotosha umma tu hapa.bahati nzuri watanzania siku hizi wanajua mchele ni upi na pumba ni zipi.

---Mesage ya Uda ni tamu sana. sema tatizo JF tuna viwango tofauti vya kuielwa. Big up Uda! you are a great thinker.
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

..............mwenye mapenzi haoni, ingawa macho anayo.......
..............mtu chake apendacho hakina hila machoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani..............
..............mapenzi hayana kificho........................
Sema sikumbuki ni bendi gani waliimba hayo maneno.
 
Huyu mtoa uzi atakuwa anatania tu.
Maana wamehubiri daima kuwa CDM ni cha Wakristu, leo iweje waislamu wakisikilize hadi kiwachochee?

aliye kwambia ni chama cha wakristu ni nan ww ndo wale2 mnao jiita wahun mnaochoma makanisana
 
Wadau naomba tusaidiane kwenye hili,kwa muda sasa nimekua nikifuatilia vurugu nyingi zinapotokea ama zitakua ni za wafuasi wa chadema au wafuasi(baadhi)wa dini ya kiislam,vurugu ambazo inaonekana kana kwamba ni za kuifanya nchi hiii isitawalike.Naomba tujiulize tatizo liko wapi?kama tatizo liko kwenye makundi hayo niliyoyataja basi tuwasaidie na kama tatizo lipo serikali basi nayo ijirekebishe,lakini kwanza tujadiliane tatizo la waslam na chadema mpaka kufikia kufanya vurugu kama lipo ni lipi?

Nawasilisha kwa nini wafuasi wa chadema na waislam ndio kila mara wamekua wakionekana chanzo cha vurugu na kuifanya nchi isitawalike?
 
Ndugu yangu sina hakika sana na ufuatiliaji wako ulikuwa unatunia nini! Kama kweli wewe ni mtu unayefanya uchunguzi utagundua kuwa CDM huwa haifanyia vurugu bali inanyang'anywa haki yake kimabavu. Waislamu wanabeba virungu, nondo, mapanga, fimbo, hata petrol za kuchomea watu na mali zao, Swali kwako, Je, ulishawahi kusikia Chadema wamekamatwa na siraha ya aina yoyote ile?
Hebu rudi kwanza kwa aliyekutuma akupe details upya naona hapa umeleta pumba tu.

vurugu ni vurugu tu hebu tiririkeni sababu sitaki utetezi nataka tupate sababu kama tatizo liko kwao tuwasaidie kama ni serikali basi nayo iwajibike
 
Wadau naomba tusaidiane kwenye hili,kwa muda sasa nimekua nikifuatilia vurugu nyingi zinapotokea ama zitakua ni za wafuasi wa chadema au wafuasi(baadhi)wa dini ya kiislam,vurugu ambazo inaonekana kana kwamba ni za kuifanya nchi hiii isitawalike.Naomba tujiulize tatizo liko wapi?kama tatizo liko kwenye makundi hayo niliyoyataja basi tuwasaidie na kama tatizo lipo serikali basi nayo ijirekebishe,lakini kwanza tujadiliane tatizo la waslam na chadema mpaka kufikia kufanya vurugu kama lipo ni lipi?

Nawasilisha kwa nini wafuasi wa chadema na waislam ndio kila mara wamekua wakionekana chanzo cha vurugu na kuifanya nchi isitawalike?

kwakweli kila mtu apate mtoto maana kuwa na mtoto siyo kupata mtoto ni kutoa uchafu tumboni wewe fikiria kwanza ndiyo upost jambo acha udhaifu wako kama rais wako yeye kila siku yupo safarini nchi inaingia kwenye machafuko kimya kimya dhaifu wewe
 
Du! Hata ukisema hivo bado hujaisaidioa CCM kwa sababu bado wanawahitaji waislamu.
 
Sultani Jakaya amerejea jana kutoka Oman, mpeni muda wa kupumzika kwanza.
 
Du! Hata ukisema hivo bado hujaisaidioa CCM kwa sababu bado wanawahitaji waislamu.

kumbe kuna vyama vingine haviwahitaji waislam sio?

Kuchukua+chakula.JPG

Chadema+na+Idd+1..JPG
 
Wadau naomba tusaidiane kwenye hili,kwa muda sasa nimekua nikifuatilia vurugu nyingi zinapotokea ama zitakua ni za wafuasi wa chadema au wafuasi(baadhi)wa dini ya kiislam,vurugu ambazo inaonekana kana kwamba ni za kuifanya nchi hiii isitawalike.Naomba tujiulize tatizo liko wapi?kama tatizo liko kwenye makundi hayo niliyoyataja basi tuwasaidie na kama tatizo lipo serikali basi nayo ijirekebishe,lakini kwanza tujadiliane tatizo la waslam na chadema mpaka kufikia kufanya vurugu kama lipo ni lipi?

Nawasilisha kwa nini wafuasi wa chadema na waislam ndio kila mara wamekua wakionekana chanzo cha vurugu na kuifanya nchi isitawalike?

Mkuu

Kwenye post yako umezingatia vigezo gani kuwapambanisha chadema na waislamu.

Waislamu ni waumini wa dini ya kiislam wakimfuata Mtume mohamad (SAW)

Chadema ni chama cha kisiasa chenye lengo la kushika dola kwa maana ya kuwasimamia na kuwaongoza watanzania

wote (waislam, wakristu, wahindu na wote wasioamini na kuamini) katika kujitawala na kujiletea maendeleo kwa misingi

ya usawa kama ilivyo ndani ya sheria mama KATIBA.

Hivyo chadema ni chama cha kisiasa na si kiimani ndiyo maana kuna Prof Safari, zito na wengineo ambao ni waislamu je hawa nao wanafanya fujo au sio waislamu hao ni chadema?
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
Aliyekuziba pua au kukukaba koo usipumue ni nani? acha vipropaganda vya kitoto.
 
Nadhani wewe ndio utasababisha nchi isitawalike kwa maneno yako ya kichochezi.

Back
Top Bottom