dada cdm wamekuchochea wewe utiwe mimba na mwl wako,kisha wamekuchochea ujikondeshe ili upendeze,wamekuchochea uvae katani kichwani ili uonekane mzungu, najua walikuchochea uchukue waume za watuasante kaka!kuna mijibaba imetokwa na jasho humu.
'mlichochea' kina mgaya yakapita
'mkachochea' wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
'mkachochea' wamachinga wa mbeya mkayamaliza
'mmechochea' wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa 'kuchochea' waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita m4c...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
Hebu ona sasa haya ya uamsho na shekh ponda!
Yaani wauza mchicha wenzako.Wasomi wa jamii forum bana bora hata muuza mchicha tandale
et cetera et cetera!na mengine ambayo hujayataja.loldada cdm wamekuchochea wewe utiwe mimba na mwl wako,kisha wamekuchochea ujikondeshe ili upendeze,wamekuchochea uvae katani kichwani ili uonekane mzungu, najua walikuchochea uchukue waume za watu
TULIZANA DADA MKO WANGAPI KWA YULE MZEE WA TRA ALIYEKUJENGEA NYUMBA,
cdm walimchochoe liyumba akununulie gari jekundu
cdm bwana mbona wana mambo
UDA..UDA...UDA...KWANINI LAKINI? MBONA MTOTO UNA MANENO MENGI KIASI HICHO? Ofisi za CDM ziko wapi kule Malawi? Klia kitu Chadema!!!kote huku mkono wa chadema!
Kilichobaki ni kuchocheana tu.'mlichochea' kina mgaya yakapita
'mkachochea' wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
'mkachochea' wamachinga wa mbeya mkayamaliza
'mmechochea' wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa 'kuchochea' waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
hebu ona sasa haya ya uamsho na shekh Ponda!
Yaani huu uzi nimekumbuka sana baada ya kuanza kuona baadhi ya magamba wakihusisha CDM na vurugu za mtwara. hivyo muendelezo wetu unaendelea