'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

==CDM wakamtumia Ramadhan Ighondu kwa Dr Ulimboka
==CDM wakafanya NECTA wampe Division Four Mbaya Mwanaasha Jakaya Kikwete
==CDM Wakawatuma NECTA wa Bugi matokeo ya Islamic Knowledge
==CDM Wakawachochea Waislam watake kuanadamana Kumng'oa Dr Ndalichako

Na mengine meeeeeengi, CDM Bwana
 
chadema ni wachochezi, ndio wamemfukuza kazi mkuru wa msd, ndio waliochochea wachakachuaji wa arv, ndio wanamchochea wasira kulopoka hovyo hovyo.
 
Imenikumbusha ile makala yangu iliyoniletea matatizo "chadema ndio wamesababisha mgomo wa madaktari" nakumbuka mpaka mzee mtei alinitolea povu.

Wasio jua kusoma katikati ya mistari lazima watoe povu sana kwenye huu uzi.
 
wamewaingiza familia za watoto wa vigogo kwenye NEC ya ccm..wamesababisha wakuu wa masjeshi kujilimbikia mijiela kwa njia isiyo halali..

eeeh aise ni kweli jamaaa angu!nahisi hata kale ka tela kanachovutwa na punda!ni CDM walishawishi!
 
mawazo mawazo si kweli hizo zote ni njia za kufikia ukombozi
kama si CDM sijui hii nchi ingekua wapi hawahawa CHADEMA ndo wamefanya raia wakafahamu DEMOKRASIA ni nini

hawana uhusiano wwote na hayo mambo uliyotaja
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita m4c...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

ama kweli uda umeacha abiria wako. inawezekana hata vurugu za mombasa, syria na burundi ni chadema . Uende shule ukaelimike achana na haya mambo magumu kwako.
 
duh kumbe chadema ilchochea wanafunz wa udom kukosa fld na kugoma..duu wakaenda mbali kuchochea CTmashne kukosekana ktk hsptl ze2? Kwenu chadema noma!
 
usiwadharau waislamu kiasi hicho, unaamaanisha mtoto alitumwa na cdm kukojolea kuruani then wakasau wakaenda kuchoma kanisa badala ya kuchoma hata bendera ya chadema my friend FUATILIA KAMPENI ZA 2005 NA 2010
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

kweli hamnazo, chama kinachoitwa cha udini tena cha wakristo kimeibukiaje kwenye maandamano ya waislamu?
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

siwadharau waislamu kiasi hicho, unaamaanisha mtoto alitumwa na cdm kukojolea kuruani then wakasau wakaenda kuchoma kanisa badala ya kuchoma hata bendera ya chadema my friend FUATILIA KAMPENI ZA 2005 NA 2010
 
Sema siwashannga watu kama hawa hata chuoni walikuwepo na degree yake
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
very good message,professional and skill shown from your brain,thank you thank you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
watu wanajua haki zao...mtu mzima hawezi akadai haki yakeukasema anatumiwa...UDA umepoteza mwelekeo kama jina lako...kwa kirefu usafiri dar es salaaam(Uda)........REBIRTH
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

*naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita m4c...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
kiongozi wako kashatoka mafichono bora wende kumsalimia hapa huna la kuongea
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

*Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
UDA usha dariwa firauni mwenzio kashatoka mafichoni.*
 
Wewe ni kipofu kama unawasingizia CHADEMA kwenye huu upumbavu wa waislamu wachache wenye mfumo wa ki-CUF na ki-CCM! Funguka acha kujitia uchizi, au ok, sawa Rushwa inapofusha, wewe na Nape vipofu. Lakini mwaka 2015, mtafunguliwa macho, mtaona wazi wazi kwamba ulikuwa uchochezi au uhamasishaji. Lakini kwa hili la Waislamu, watoweni CHADEMA, zingekuwa vurugu za wakristo kidogo ungedanganya wajinga wachache!!!
 
Reading between the lines mr. Mtoi?? Tanzania hatutoi elimu, kama unauona huu ni uzi, na unaulinganisha kwa ubora na ule wa kwako! Mtu unaongea pumba afu unajipigia hi five mwenyewe kwamba, nimepigilia uzi huo, hawasomi between the line! Which line?? Wasomi uchwara wanapotosha Watanzania, badala ya kuwaelimisha kwa debate za kijinga. Hapa hakua uzi, ni ujinga tuu wa kwako na uda, wote ni wapumavu, again fools!
 
great thinkers fungukeni!mbona mwaniangusha?

wamekupuuza kwasababu uliyoongea kwa mtu mwenye akili zake anajua wewe umechochewa na mme wako anaye fanya kazi ccm. umekuja kupotosha umma tu hapa.bahati nzuri watanzania siku hizi wanajua mchele ni upi na pumba ni zipi.
 
Back
Top Bottom