Uchi wa mbuzi

Uchi wa mbuzi

Ila kiukweli , kama kweli Mungu atampa cheo kingine huko mbinguni basi tujiandae kisaikolojia.
 
ngumu kumeza embu ngoja nitakuja kuisoma tena kesho saa kumi alfajiri akili yng ikiwa imetulia
 
Mshanajr

Waapenda sana kutaabisha
Wataabisha wanajamvi wetu
Sababu za msingi hakuna
Kila ukija waja kimakinikia
Watesa bongo na oblangata
Mishipa ya fahamu yabuma
Kuwaza na kuwazua kitaani
Kupata maana na maanaye
Shida kung'amua barabara
Barabara ya weledini kwetu
Unataabisha jukwaa Mpare
Khaaaa

Bazazi ni Bazazi!
 
Kwamba itafikia mahali kulitaja tu jina la dada mtukutu ni jinai,,🙂
"Da Mange jana kuna mkaka kakutaja kwa kukusifia kwenye daladala ile anashuka tu haoo wamemdaka jamanii,, hide my id pls"😛
 
Kwamba itafikia mahali kulitaja tu jina la dada mtukutu ni jinai,,🙂
"Da Mange jana kuna mkaka kakutaja kwa kukusifia kwenye daladala ile anashuka tu haoo wamemdaka jamanii,, hide my id pls"😛
😳 😳 😳
 
Mshanajr

Waapenda sana kutaabisha
Wataabisha wanajamvi wetu
Sababu za msingi hakuna
Kila ukija waja kimakinikia
Watesa bongo na oblangata
Mishipa ya fahamu yabuma
Kuwaza na kuwazua kitaani
Kupata maana na maanaye
Shida kung'amua barabara
Barabara ya weledini kwetu
Unataabisha jukwaa Mpare
Khaaaa

Bazazi ni Bazazi!
Dah.. 😀 😀 😀 😎
 
Kwann hana mpangilio wa kuongea? Wamsisitize kuongea kile alicho andikiwa tu bas itamsaidia
 
Mshana Jr.. you are superman.. You have good heart.. I love you.
In PaMoJa
 
If you are strong enough sometimes you have to do the wrong things for the right reason. Katika maisha tu ya kawaida kuna watu mpaka Mungu anawachukua kurudi kwake hawajaacha Alana yoyote hapa duniani kwamba waliwahi kukanyaga hata mti tu hawajawahi kupanda tukala matunda yao. Mtu anapoikosea jamii na kwakuikosea kwake huko kukainyenyua jamii kutoka kwenye dhiki mpaka kwenye raha basi ujue jamii yenyewe ndo ilikuwa imepotoka.
 
Back
Top Bottom