Nilijiuliza hili pia, maana najua mjusi tunutunu ndio mwenye hii tabiaSawa lakini la mbuni kuficha kichwa chake ardhini umetudanganya....
Nilijiuliza hili pia, maana najua mjusi tunutunu ndio mwenye hii tabia
Na kamwe Mshana hawezi kuwa malaika
.Why ostriches DON'T bury their heads in the sand... and the surprising truths behind other great animal myths | Daily Mail Online
Hiyo article ya daily mail imefafanua some of the myths
Hiki ndio nilimaanisha... Nimeandika fasihi kutokana na mapokeo.. Ni kama nilivyoulezea uchi wa mbuzi.. Ule ni uumbaji lakini sisi tukaupa tafsiri zetu... Wewe kwenye ishu ya mbuni ulitaka kupinga kuwa sio kweli na ukaweka na ithibati... Jambo ambalo ni sahihi lakini sio muktadha wa mada! Unajua ni kwanini mpaka wazungu wakaja na utafiti!? Ni kwamba hilo jambo lipo... Lakini je ni kweli mbuni akiingiza kichwa chake ardhini anajificha!? Hii ni tafsiri ya binadamu, je kama hapo alipoingiza ni tunduni na anatafuta chakula!?Chief...soma ujifunze. Hiyo picha sio uthibitisho wa hoja yako.