Umedanganywaje mkuu.Sawa lakini la mbuni kuficha kichwa chake ardhini umetudanganya....
Mhuuuu vipi hapa tena unamaanisha pilato naye ni beberu mtaa wa saba au kibwagizo tu.Na inaelekea moja ya sifa ya kateuliwa na Mungu kuwa Kiongozi wa majini wema, ni kutumia madaraka kiubabe kuzaa na wake za watu. Vinginevyo unaelezaje hilo?
Hii ndiyo katuni yangu bora kwa mwaka huu hata zikipatikana nyingine kwangu hii ni funga mwaka.Ila kiukweli , kama kweli Mungu atampa cheo kingine huko mbinguni basi tujiandae kisaikolojia.
AiseeeTungekuwa tunaruhusiwa kutukana ningesema uchi wa bwana yule
Hapana mbona hilo lipo wazi kama uchi wa mbuzi!Sawa lakini la mbuni kuficha kichwa chake ardhini umetudanganya....
Mnazungumzia **** ya mbuzi ?Upo kule jukwaa la picha