Nahitaji uzungumzie swala hili kwa urefu kodogo kama ulivyosema kwamba ni jambo refu kidogo
Ungetengeneza vitabu ungeuza sana
Niliisikia hii habari leo asubuhi halafu aliyefanya hivyo ni ndugu wa karibuMshana Jr......kuna wale ambao huwa wanabwabwaja juu ya post zako kuwa ni za kufikirika. CLEVERKING na FAIZAFOXY nataka waniambie je tukio lililotokea Huko Mkoani SIMIYu juu ya yule aliyekufa 2013 na baadae kuonekana 2016..,,,,,akiwa hai.
Endelea kutuelimisha mkuu....
Ndio mkuu...haya mambo ni shidaaaaNiliisikia hii habari leo asubuhi halafu aliyefanya hivyo ni ndugu wa karibu
[emoji3] [emoji3] [emoji115]Kumbe
Waiter Leta Bitter Lemon Na Bapa Ndogo
Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Halafu tumuite anko kibyongo! Lile komwe je[emoji102] [emoji87] [emoji85] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana jr. Hii ya kumpatia mtu kibiongo naomba kama unayo maana huyu Anko anaitaji action kidogo ili akili imkae sawa la sivyo atatuendesha sana
Akiwa na vyote itapendezaHalafu tumuite anko kibyongo! Lile komwe je[emoji102] [emoji87] [emoji85] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]