Uchawi wa kulogewa kibyongo, busha

Uchawi wa kulogewa kibyongo, busha

Hapo kwenye mazingaombwe .........mkuu kwani anaweza kuzuga kama ana kutolea kitu mwilini?????na kama baada ya kufanya hivyo MTU akaona mabadiliko pia ni usanii??
Kitu Chochote cha kutega kwenye hilo ni usanii
 
Waathirika wengi kwenye hili ni wale wapendao sana kwenda kwa waganga kwa ajili ya kupata bahati ngekewa na kupendwa..ukifika pale atakusoma na kukufahamu mtazamo wako hivyo atakutengenezea phantom la kuja kukudhuru mbeleni

Atakusoma kwani wewe kitabu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ok na kama je huyo mke wa mtu ulipiga kitambo na sasa huna mawasiliano nae kabisa na huhitaji kua nae mtu akikupangia anaweza kukupa kijibusta au hadi ukadate nae ndo wakipata
 
Faiza foxy acha tupate faida bwana unatuharibia mada wengine hatujui kitu tnajifunzia hapa hapa
 
Ok na kama je huyo mke wa mtu ulipiga kitambo na sasa huna mawasiliano nae kabisa na huhitaji kua nae mtu akikupangia anaweza kukupa kijibusta au hadi ukadate nae ndo wakipata
Hapana hiyo haina nguvu tena
 
Mkuu Mshana Jr

Hii michezo hipo sana. Wengine hadi wametengenezewa hofu ya kifo. Ila mwisho wa siku wanapigwa.
 
Hivi wewe maaluni mbwa koko mgonjwa una nini na mimi ?
Teh! teh! We kiumbe ukichokonolewa kidogo tu unatoka mazima na kupoteza credibility,

uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana,next time acha kukurupuka na vistory vyako vya "Bedtime stories"
 
Jifunze kuwa mwanaume kamili
Kwanza punguza kujichekeshachejesha bila sababu sio dalili nzuri
Pili usibane sauti na kurembua unapoongea sio dalili njema pia kwa mtoto wa kiume
Tatu usipende kushadadia na kurukia visivyo kuhusu na ambavyo hukualikwa... hii pia si tabia nzuri na ni dalili mbaya sana kwa mtoto wa kiume
Tano credibility yangu kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu....jua yako yasiyo kuhusu yapotezee itakusaidia sana
Mwisho sipangiwi cha kuandika wa kujibu....hiki unachokiita bedtime stories ndio kinacho kuvuta kuja kutoa povu hapa ukitumia muda na mb zako!
 
Kumbe na taarabu unajua kuimba Eeeh! Ndio unatafuta senti hapa JF uingie studio sio? 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom