bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,999
Pasaka njemaUnaona ni taarab kwakuwa ndio miziki yako upendayo sana
Pasaka njemaUnaona ni taarab kwakuwa ndio miziki yako upendayo sana
Du mbona unanikosea hivyo? Lini nilikuambia Mimi Ni kaka? Duh haya bana, ukitaka nkusamehe nitoe lock kwanzaPamoja nawewe kaka umewaona wale jamaa zetu wameshatia timu hapa tayari?
Takutumia pm namba ya mpesa, Si unajua tena pasaka hii hamna hata mvua[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] naomba niwie radhi takutoa lock muda si mrefu
Kuna sehemu ulisema wewe ni mwanaume nikakukatalia ukasema tupotezee,leo unaitwa kaka unahamaki kulikoni ??Du mbona unanikosea hivyo? Lini nilikuambia Mimi Ni kaka? Duh haya bana, ukitaka nkusamehe nitoe lock kwanza
Naenda sahiv mzeeWee tangulia tu pahala kaagize kisha nitumie picha ya bili kwenye wozapu
Siku Ile Si ulinikazia, nkaona isiwe nongwaKuna sehemu ulisema wewe ni mwanaume nikakukatalia ukasema tupotezee,leo unaitwa kaka unahamaki kulikoni ??
Kwa hiyo wewe ni bi dada ?Siku Ile Si ulinikazia, nkaona isiwe nongwa
Inakaribia elf 80 sasaUsisahau ku attach location
Ndio kiongoz[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
HIV sisi tunatumia dola au shilingiNi sawa na $35 hv bado sana mbona?
Ndio mkuuKwa hiyo wewe ni bi dada ?