Uchawi wa kulogewa kibyongo, busha

Uchawi wa kulogewa kibyongo, busha

Daah mkuu mi juzijuzi nlipotelewa na cheti cha form four na chuoni wakawa wanakihitaji, so nlikaa nkawazaaa bs nkataka niende kwa mganga wa kienyeji ili ajaribu kukilocate kilipo, sijui ingewezekana?
 
Daah mkuu mi juzijuzi nlipotelewa na cheti cha form four na chuoni wakawa wanakihitaji, so nlikaa nkawazaaa bs nkataka niende kwa mganga wa kienyeji ili ajaribu kukilocate kilipo, sijui ingewezekana?
Hapana badala ya kwenda huko nenda NECTA utafanyiwa utaratibu wa kupata duplicate
 
nilisha kwenda necta na nikafanikiwa lakn nahtaj kujuwa vp waganga wangeweza kulocate cheti changu kilipo?
Utaishia kupigwa siku hizi waganga wa kweli ni wachache mno na hawaishi mijini
 
Watu wanasema kuota ndoto au unaota ndoto nyingine wanasema zina ukwel wa jambo fulan nitaweza kutambuaje ndoto fulan ina maana fulani
 
Watu wanasema kuota ndoto au unaota ndoto nyingine wanasema zina ukwel wa jambo fulan nitaweza kutambuaje ndoto fulan ina maana fulani
Inakuwa very clear na unaikumbuka vizuri sana hata ukiamka
 
Nahitaji uzungumzie swala hili kwa urefu kodogo kama ulivyosema kwamba ni jambo refu kidogo
 
Back
Top Bottom