Uchawi ni kama kamariUchawi ni taaluma iliyoshindwa kuthibitishwa kisayansi. Mfano kwenda Marekani kwa nusu saa.
Lakini uenda uchawi ungetumiwa vizuri ungekuwa na manufaa... Ubaya wa uchawi ni kuuana, kulogana... Yani uchawi ni sambamba na Roho mbaya ya kuwafelisha watu, wakati Sayansi ni sambamba na roho nzuri ya kusaidia wengine
ukipenda mbele andika na ya mama yako pia matatu nitumie alafu utakuja weka mrejesho.Uchawi ni ugonjwa wa akili
Haya mambo yapo ila watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hasa kwa kuzingatia hizi dini za kigeni. Ukipigwa na huo uchawi ukiendekeza kusali unapoteza maisha.
Uchawi ni matatizo ya afya ya akili.Sasa bro, kwa kuwa akili yenyewe pia haina uthibitisho kamili wa kisayansi je nayo haiangukii kwenye imani tu!?
Yaani namaanisha kwamba mbona sasa hata akili yenyewe bado ipo katika uwanda wa kiuchawi tu.
Tuliache tu liendelee hivi hivi maana intelligence itahusisha na manadharia pia. Hata kama ni nadharia ya kisayansi au ya kichawi zote zina sifa ya kutokuwa na uthibitisho kamili. Havitenganishiki kiviiiiile
Nachojua kwamba wakoloni walitushinda kwasababu tulishidwa kutumia uchawi kwa akili,badala yake tukatumia uchawi kama uchawi...hicho ndicho kinacho tusumbua mpaka hivi leo kuonakwamba uchawi mbaya kumbe tunashidwa kutumia akili kwenye kutumia uchawi ipasavyo na kuangukia kwenye umasikini na mangojwa ya ajabu.Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi
- Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi.
- Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au kupata utajiri.
- Hauna msingi wa kisayansi.
Sayansi
Sayansi ni mfumo wa ujuzi unaotegemea uchunguzi, majaribio, na ubunifu. Sayansi inatumia mbinu za mantiki na ushahidi ili kuelewa ulimwengu unaotuzunguka.
Sifa za sayansi
Uchunguzi: Sayansi huanza na uchunguzi wa ulimwengu unaotuzunguka. Wanasayansi hutumia akili zao na hisia zao ili kutambua mifumo na uhusiano.
Majaribio: Wanasayansi hutumia majaribio ili kupima nadharia zao. Majaribio yanasaidia wanasayansi kuthibitisha au kukataa nadharia zao.
Ubunifu: Sayansi inahitaji ubunifu. Wanasayansi wanahitaji kuwa na uwezo wa kufikiria nje ya boksi na kutoa nadharia mpya.
Akili
- Ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
- Huweza kupimwa kwa kutumia vipimo vya akili.
- Ina msingi wa kisayansi.
Tofauti kati ya uchawi na akili
Uchawi unategemea imani, wakati akili inategemea ushahidi.
Uchawi unategemea imani katika nguvu za kiroho au za kichawi ambazo haziwezi kuthibitishwa. Akili, kwa upande mwingine, inategemea ushahidi wa kisayansi.
Uchawi unahusisha matumizi ya nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi mara nyingi huhusisha matumizi ya dawa za jadi, spell, au uaguzi. Akili, kwa upande mwingine, ni uwezo wa kufikiri na kuelewa, Bila kujali kama inahusisha matumizi ya nguvu za kiroho au za kichawi.
Uchawi hauna msingi wa kisayansi, wakati akili ina msingi wa kisayansi.
Uchawi hauna msingi wa kisayansi na hawezi kuthibitishwa. Akili, kwa upande mwingine, ina msingi wa kisayansi na inaweza kupimwa kwa kutumia vipimo vya akili.
Maoni ya watu mbalimbali kuhusu uchawi na akili.
Watu wengine wanaamini katika uchawi, wakati wengine hawaamini kabisa. Watu wanaoamini katika uchawi wanaweza kuamini kwamba uchawi unaweza kutumika kwa madhumuni chanya au hasi.
Watu ambao hawaamini katika uchawi wanaweza kuamini kwamba uchawi ni udanganyifu au kwamba hakuna ushahidi wa kisayansi wa kuunga mkono kuwepo kwake.
Watu wengi wanaamini kwamba akili ni muhimu kwa kufanikiwa katika maisha. Akili inaweza kusaidia watu kufikiri kwa ubunifu, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi sahihi.
Kama uchawi unamanufaa ungetusaidia kusitawaliwe na wakoloni, lakini ni kwamba wakoloni walituzidi akili, (maarifa).
Nilikuwa natoa ushauri Kwa JF Kwamba kuwe na jukwaa la Mada za Kichawi , nguvu za Giza.
Na jukwaa la intelligence libaki na Mada zenye utafiti wa kisayansi.
Hahah hahah, ni nchi Gani hapa duniani watu wake wametumia uchawi ukawaletea maendeleo AU mafanikio kimaisha?Nachojua kwamba wakoloni walitushinda kwasababu tulishidwa kutumia uchawi kwa akili,badala yake tukatumia uchawi kama uchawi...hicho ndicho kinacho tusumbua mpaka hivi leo kuonakwamba uchawi mbaya kumbe tunashidwa kutumia akili kwenye kutumia uchawi ipasavyo na kuangukia kwenye umasikini na mangojwa ya ajabu.
So hapo umefanya tafiti za kisayansi ukabaini hayo ?Uchawi+Imani za kidini+ Imani za kishirikina+ mazingaombwe yote Haya yanatokana na matatizo ya afya ya akili
Uchawi ni mawazo mabaya kutoka kwenye kichwa chake mwenyeweUchawi ni mfumo wa maisha ya kiroho wenye kuleta athari hasi kwenye maisha ya kimwili.
Madhara yoyote yanayotokea kwenye mwili ni matokeo ya jitihada zilizoanzia kwenye ulimwengu wa kiroho wa giza.
Akili; brain in action.... Uwezo autumiao mwanadamu kusimamia mfumo wa maisha yake. Kazi yake ni kuunganisha na kutoa fursa ya kile ambacho unakitaka kwenye maisha yako pamoja na kuhakikisha unaendelea kuishia kwa kuzingatia usalama wako.
sayans inaanzia pale uchaw ulipoishia chunguza kw makin utaelew !!Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.