nganilevanu
Member
- Mar 13, 2019
- 38
- 73
- Thread starter
- #81
[emoji2960] na bahati nzuri situmii pombeUmeleweshwa na mchepuo bila kujua katika kujitutumua ukajikuta na michubuko,ama kwako hilo haliwezekani[emoji848]
[emoji2960] na bahati nzuri situmii pombeUmeleweshwa na mchepuo bila kujua katika kujitutumua ukajikuta na michubuko,ama kwako hilo haliwezekani[emoji848]
Lkn kikibwa tukaze kumuomba munguUlimwengu wa roho sio mchezo ndio maana unaambiwa maisha mi vita. Wanaojua kucheza huu mchezo maisha yao ni mazuri.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
We mtoto wa kiume hauoni aibu kuhadithia watu eti "NIMEPIGWA KIBAO MKONONI"Jomba nashindwa kukuelewa, Ko wenge langu ndo linipige kibao, Pamoja na mikwaluzo . Hilo wenge la namna gani
Kuna watu wa aina yako.Mchawi hatishiwi yesu wewe,acha bangi
Mwanangu unanikumbusha nilishapanga nyumba Shinyanga....Ile nafungua mlango asubuhi,fisi akatoka ndani ya chumba...........Nyumba umepanga?kama ndio hama hapo haraka
Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.
Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.
Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.
Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.
Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.
Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.
Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
Mh!☹️Mpumbavu mkubwa wewe, labda umeokoka kutiwa madole.
Duh hiyo mzee ni hatarMwanangu unanikumbusha nilishapanga nyumba Shinyanga....Ile nafungua mlango asubuhi,fisi akatoka ndani ya chumba...........
Yani ahame nyumba kisa ina mambo ya kishirikina??Nyumba umepanga?kama ndio hama hapo haraka
Yaan haya mambo yapo lakin kuna jamaa apa anabisha kwelNomaa sana,umenikumbusha niliishi Mkoa flani,Ile nyumba ilikua na panya wanene balaa Hadi pumbu zao Zinaonekana Usiku fujoo balaa. Nikaomba maji ya Baraka nikamwaga ndani kotee.
Banaaa wachawi wapo,wale panya siku hiyo hawakuonekana Wala kuzozana Usiku mzima kimya[emoji1787][emoji1787] asubuhi tunaulizana na mke wangu,tukashangaa sana.Hii ikanipa alarm kwamba mchawi mpuzi sana. Kusumbua watu pasipo faida Yanini Sasa,Badala ya kufuga mbuzi wao wafuga mipanya na fisi.
Mdanganye mwenzako siku akiamka kaliwa mzigo ndo atajuaYani ahame nyumba kisa ina mambo ya kishirikina??
WW jamaa huwezi kua serious
Unamkimbia uchawi huo ni uoga...kwahyo kila sehemu utakua unahama sasa maana wachawi wapo kila mahalaMdanganye mwenzako siku akiamka kaliwa mzigo ndo atajua
Bima za uchawi ni simple tu na hazina gharama.ndomana nimesisitiza sala,ibadana kuepuka hofu. Tofauti na hapo utaangukia mkononi mwa waganga. Wapo ambao ni wakweli lakini matapel na ni wachache mno nowadays. Kuliko kihangaika kimbilio liwe kwa Mungu. Ni kweli kwamba Kuna mazingira ambayo unaweza kusema ni muujiza mfano unafanya biashara lakn huoni pesa hapo unaweza kukata bima owe guarantee Yako lakn bima haiamini kwenye ushirikijaHivi atuwezi kukatwa bima za uchawi ?