Uchawi upo jamani tukazane kumuomba Mungu

Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.

Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.

Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.

Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.

Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.

Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.

Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
Akili Yako na huyo mkeo imejaa hofu tu yaani panya wa ushirikina umuue tu kirahisi rahisi hivyo? Huyo alikuwa panya wa kawaida tu usiwatie watu hofu.
 
Sawa tuseme panya ni hofu kaka. Je nakupigwa mkononi na kitu kisichoonekana maan mkono ulivimba kabsa. Nayo ni hofu kaka
 
Kwanini huyo Mungu ni mpaka aombwe ndo awalinde? Anakuwa hajui? Au anajua anatakiwa kuwalinda watoto wake ila hataki tu,kama hataki ni ana upendo wote kweli? Alafu huo uchawi na nguvu za giza si kaziumba yeye?(nime assume kwamba uchawi upo),ila kwenye story yako sijaona huo uchawi zaidi ya wenge lako mwenyewe.

Una kaza sana ubongo!
 
Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.

Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.

Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.

Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.

Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.

Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.

Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
tuliowahi hadi kulazwa nje tunacoment wapi
 
CHUMVI YA MAWE MKUU,MBONA UKITUMIA WATAKUNUNIA NA KUKUSONYA
 
Specific episode, bold: Maji haya! Unajua mabaliko kutoka agano Jipya kuja la kale? Unajua agano jipya ni improvement ya la kale?

Unajua agano jipya lina roho mtakatifu anayeongoza? Unajuq pazi la patakatifu lilipasuka na sasa anyone can go to God for directions?

Unajua:

Warumi 8.14 inasema "Kwa kuwa wanaoongozwa na roho ndiyo wana wa Mungu, na 2 Wakorintho inasema Roho wa Mungu utufunulia hata mafumbo ya Mungu....

Why should I waste my time listening hao manabii wenu wa usiku wenye njaa na waongo?

Kwa nini nishikilia hayo mambo ya chumvi wakato the spirit can speak to me today on specific subjects?

Endeleeni kutapeliwa na umaskini wenu utaendelea sana.
HATA YESU MWENYEWE ALITEMA MATE CHINI,AKATENGENEZA TOPE AKAMPAKA KWENYE MACHO KIPOFU.
WEWE NANI UNAYEIKATAA CHUMVI.
MNAOJIITA WALOKOLE HUWA MNAJIFANYA WAJUAJI NA KUKATAA MATUMIZI YA VITU ALIVYOUMBA MUNGU.
ELISHA ALITUMIA CHUMVI
MITUME WALITUMIA HADI LESO
WEWE NANII????WEWE NI NANI HASA???HEBU JIELEZE
 
Fungulia redio station za dini usiku watumishi wanakemea mapepo usiku kucha, wakisikia jina la Yesu limetawala kwako watasepa tu.

Nunuwa chumvi ya mawe hata pakti NNE weka mezani nyingine uvunguni nyingine chini ya mto.

Hizi ndio Simple codes za kuwakimbiza wachawi bila kutumia ndumba.
Code nzuri na rahisi sana kuanzia Leo nitaanza kutumia
 
Vimbwanga vipo sana na ni muda wote sio usiku tu.

Ndio maana tumesisitizwa kusoma Aya mbili za mwisho kutoka katika suratul bakara AU ayatul kursiyu .Na nikitendo Cha dk 2 tu

UKISOMA HIZO HAKINA KIUMBE KIBAYA WALA MCHAWI ATAKUSOGELEA HAPO NA AKIJA ANADHANI KUONA WW NDIO UNAMROGA

Unakuwa chiini ya ulinzi kamili WA ALLAH TABARAKA WA TAALA.
Huwa nasomaga na suratul yasin,ni hatari kabisa, kuna jirani anatangaza sasa kuwa mimi ndo mchawi
 
Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.
Kule Iringa walidhibiti umeme usikatishe makaburi
 
Kwanini huyo Mungu ni mpaka aombwe ndo awalinde? Anakuwa hajui? Au anajua anatakiwa kuwalinda watoto wake ila hataki tu,kama hataki ni ana upendo wote kweli? Alafu huo uchawi na nguvu za giza si kaziumba yeye?(nime assume kwamba uchawi upo),ila kwenye story yako sijaona huo uchawi zaidi ya wenge lako mwenyewe.
Kama uchawi haupo unadhani Kuna mechanism gani huwa inamfanya mtu aamke asubuhi anakuta amenyolewa au kuchanjwa??
 
Matatizo ya akili kwa sisi africa ni janga kubwa mtu akipata ma hallucinations na illusions tunakimbilia imani za kichawi mwisho wa sku tunapigwa na matapeli wa dini.
Haujawahi kuona mgonjwa anashindikana hospital ila anapona kwa mganga wa kienyeji au kwenye maombi

Unadhani tatizo hapo nini endapo unahisi uchawi haupo

Lavit lete fact hapa
 
Kila unachokiamini kitakutokea ipo nguvu kubwa sana ndani ya wazo lolote , aliekufanya upone ni ile imani yako ilyotengeneza fikra chanya kuhusu ugonjwa wako na sio mganga, mganga katumika tu kama vessel ya kutrap imani yako ikupelekee uwaze chanya.
 
Back
Top Bottom