Uchawi upo jamani tukazane kumuomba Mungu

Kila unachokiamini kitakutokea ipo nguvu kubwa sana ndani ya wazo lolote , aliekufanya upone ni ile imani yako ilyotengeneza fikra chanya kuhusu ugonjwa wako na sio mganga, mganga katumika tu kama vessel ya kutrap imani yako ikupelekee uwaze chanya.
We jamaa hujakutana na chochote ni halali yako kubisha.ili uamini inabidi kikitokee kwanza . Mm nilikua siamini mpka kilipo nipata
 
Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.

Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.

Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.

Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.

Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.

Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.

Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
Aise kama upo na unakupa chakula, malazi, USAFIRI, uhakika wa MAISHA.
BASI AMINI!🤭🤭🤭🤭🤭
 
Fungulia redio station za dini usiku watumishi wanakemea mapepo usiku kucha, wakisikia jina la Yesu limetawala kwako watasepa tu.

Nunuwa chumvi ya mawe hata pakti NNE weka mezani nyingine uvunguni nyingine chini ya mto.

Hizi ndio Simple codes za kuwakimbiza wachawi bila kutumia ndumba.
Hii story inaonesha jinsi wanaoamini mambo ya uchawi na ushitikina walivyo wajinga.

Story au ushuhuda wako juu ya uchawi ungekuwa na mashiko, kama ungetuambia uliona nini Cha ajabu kwa huyo panya, mbona hata huku kwetu panya usiku kucha wanakimbizana na kulia.

Eti unashangaa kwanini panya kwenye vyumba vingine haonekani. Sasa ataonekanaje wakati yupo chumba chako, ulitaka ajigawe? Hivi una akili kweli wewe?

Yani wewe mtoto wa kiume badala ya kutuliza pressure ya mkeo, na wewe eti unalialia.
 
Sawa tuseme panya ni hofu kaka. Je nakupigwa mkononi na kitu kisichoonekana maan mkono ulivimba kabsa. Nayo ni hofu kaka
Upigwe mkono ili iweje wewe, una kitu cha maana. Yani unaonesha jinsi Gani wachawi ni watu WA comedy. TUassume umepigwa kweli mkono na mchawi, haya ulipata madhala Gani? Yani aache kukuua akupige mkono, unatuona sisi watoto wadogo?
 
Hii story inaonesha jinsi wanaoamini mambo ya uchawi na ushitikina walivyo wajinga.

Story au ushuhuda wako juu ya uchawi ungekuwa na mashiko, kama ungetuambia uliona nini Cha ajabu kwa huyo panya, mbona hata huku kwetu panya usiku kucha wanakimbizana na kulia.

Eti unashangaa kwanini panya kwenye vyumba vingine haonekani. Sasa ataonekanaje wakati yupo chumba chako, ulitaka ajigawe? Hivi una akili kweli wewe?

Yani wewe mtoto wa kiume badala ya kutuliza pressure ya mkeo, na wewe eti unalialia.
Tatizo so panya. Tatizo kupigwa mzee ko kupigwa na kitu usichokiona ni kawaida??
 
Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.

Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.

Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.

Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.

Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.

Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.

Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
Wacha kushikashika madawa! Wakikuta na wewe una vindumba watakushughulikia lakini kama huna kitu madawa yao huwa hayashiki!
 
Upigwe mkono ili iweje wewe, una kitu cha maana. Yani unaonesha jinsi Gani wachawi ni watu WA comedy. TUassume umepigwa kweli mkono na mchawi, haya ulipata madhala Gani? Yani aache kukuua akupige mkono, unatuona sisi watoto wadogo?
Kweli inaonekana na bishana na mtu asili yake ni ubishi. Lakni ukweli utabaki ukweli haiwezekani . Mtu unapigwa unaona kabisa alama za kupigwa ety. Afu nichukulie simple ety kisa kujiamini. Sasa kama so mambo ya giza ninini kilichonipiga mkononi?
 
Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.

Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.

Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.

Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.

Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.

Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.

Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
Mama yako wa kijijini akakupatia namba ya mtumishi ambaye yupo huku unakoishi
 
Ruhusuni hewa na mwanga kuingia ndani mkiwa mmelala pia ondoa hofu kuhusu kurogwa , maana kila kitu kinaanzia akilini kwako unaweza kukuta ni ubongo wako unakutrick kwa sababu hata unapoenda kulala unakua na mawazo ya kwamba leo utakabwa usiku !!

Badilisheni hata mazingira ya kitanda, na kabla ya kulala ongeleeni vitu positive sio kuwaza uchawi !!
 
Tatizo so panya. Tatizo kupigwa mzee ko kupigwa na kitu usichokiona ni kawaida??
Sasa wewe umelala unasema umepigwa, si wenge Hilo. Haya umepigwa mara ngapi, Kama ni mara moja basi tunahitimisha ni wenge la usingizi plus hofu zako za kijinga kuhusu uchawi na ushirikina. Kama umepigwa mara nyingi ilibidi utuhadithie reaction ya watu uliokua nao karibu (mkeo na majirani).

Halafu kumbe wachawi wanapenda makuzi eh, Yani badala ya kukufanyia kitu Cha madhala kama kuukata kabisa mkono, yeye anakupiga tu basi
 
Kweli inaonekana na bishana na mtu asili yake ni ubishi. Lakni ukweli utabaki ukweli haiwezekani . Mtu unapigwa unaona kabisa alama za kupigwa ety. Afu nichukulie simple ety kisa kujiamini. Sasa kama so mambo ya giza ninini kilichonipiga mkononi?
ACHA wenge wewe, we umelala unaota ndoto mbaya kutokana na hofu zako za kijinga, unapiga kitu kwa mkono, unashtuka, unahitimisha ni wachawi. Ungesema umekatwa mkono kidogo ungetushtua
 
Sasa wewe umelala unasema umepigwa, si wenge Hilo. Haya umepigwa mara ngapi, Kama ni mara moja basi tunahitimisha ni wenge la usingizi plus hofu zako za kijinga kuhusu uchawi na ushirikina. Kama umepigwa mara nyingi ilibidi utuhadithie reaction ya watu uliokua nao karibu (mkeo na majirani).

Halafu kumbe wachawi wanapenda makuzi eh, Yani badala ya kukufanyia kitu Cha madhala kama kuukata kabisa mkono, yeye anakupiga tu basi
Jomba nashindwa kukuelewa, Ko wenge langu ndo linipige kibao, Pamoja na mikwaluzo . Hilo wenge la namna gani
 
Kiukweli toka nazaliwa, nilikua nasikia haya mambo ya kurogwa yaan mtu anaamka amechoka mara amechanjwa chale usiku lakini nilikua nafikiri ni story za kufirika, ingawa hata nilipokuwa naishi na wazazi wanasimulia kua wanaota ndoto za ajabu, lakin bado mimi sikuamin haya mambo.

Lakni safari hii yamenikuta mwenyewe.. ipo hivi kunanyumba naishi mimi na mke wangu na mtoto wangu hii nyumba ni yakupanga nimeishi toka mwaka 2019 mpaka sasa huu ni mwaka wa 5 sasa. Hapo nyuma mambo yalikua freshi hakukua na shida yeyote. Lakin kuanzia mwaka huu mwezi wa 3 ndo kimbembe kikaanza mara wife usiku anaota ndoto za ajabu mara mimi ndoto za ajabu. Ikifika saa 7 usiku unasikia kitu kabisa kimetua kwa nguvu kwenye bati , hata usingizi unakata afu iki kipindi nilianza kuogopa mpka panya maana hiki kipindi yanatokea maluweluwe kulikua na panya mkubwa sana anakoloma yaani kama usiku alikuwa anapiga kelele mpaka tukawa tunajifariji kuwa anataka kuzaa lakini wapi maana hakuzaa chochote mpaka mwezi ukaisha.

Nanilihangaika hiki kipindi cha mwezi mzima kumuua huyu panya lakini ilishindikana nilitumia mitego aina kama 4 lakini ilishindikana na huyu panya majirani walikuwa hata hawamuoni mimi nalalamika kuwa kuna panya mkubwa humu ndani. Kumbe anaishia kwangu tu kwa majirani haendi.

Kumbwa kuliko kunasiku ilikua saa 11 alfajiri kumbukumbu zangu nilikua katika ndoto lakni cha ajabu nilipigwa na kitu ambacho mpaka leo sielewi ni nini maana nilishituka nilipiga kelele mke wangu naye akashituka namwambia nimepigwa na kitu nikaamka palepale kabla mkono wangu haujavimba nikawasha taa sikuona chochote.

Lakni baada ya muda mkono wangu ulivimba sana na michubuko kama mitano. Kiukweli sikuweza pata usingizi tena maana tayari kulikua kunapambazuka. Ilipofika asubuhi nikiwajurisha wa zazi wangu maana wapo kijijini. Mama angu nimlokole akaniombea pia akanipa namba ya mtumishi ambae yupo mjini nako ishi mimi anifanyie maombi pia.

Nashukuru mungu ile hali ya usiku kujakitu kwenye bati kikatoweka. Na yule panya akajichanganya tukamuua kwa virungu. Lakin kama mwezi usiku nilikua nakosa usingizi kabsa mimi na simu usiku mpaka asubuhi mpaka nilivokuja kuzoea badae.

Lakini napenda kuwakumbusha ndugu zangu tujitahidi tunavoenda kulala tujitahidi kumuomba mungu alinde maisha yako na ya familia yako maana hii dunia inamambo mengi ya giza ambayo kwa macho yako ya nyama huwezi ona kitu chochote.
Hama hapo acha usenge
 
Uchawi upo,ila jua na imani ipo,kwanini uchague upande huu wa uchawi tuu na iwe ni sehemu ya mateso yako.Kataa wachawi🤔
 
ACHA wenge wewe, we umelala unaota ndoto mbaya kutokana na hofu zako za kijinga, unapiga kitu kwa mkono, unashtuka, unahitimisha ni wachawi. Ungesema umekatwa mkono kidogo ungetushtua
P1[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji2960][emoji2960] ni mmoja wao
 
Jomba nashindwa kukuelewa, Ko wenge langu ndo linipige kibao, Pamoja na mikwaluzo . Hilo wenge la namna gani
Umeleweshwa na mchepuo bila kujua katika kujitutumua ukajikuta na michubuko,ama kwako hilo haliwezekani🤔
 
Back
Top Bottom