nganilevanu
Member
- Mar 13, 2019
- 38
- 73
- Thread starter
- #21
Sawa mtu mungu narejeaPole sana mkuu, mda mwingine hauwezi amini kama haijatokea miujiza kama hyo.
Tatizo uko mbali sana na MUNGU, na imani yako bado ipo chini kwani wenye imani ni ngumu mno kusumbuliwa na hvyo viwatu.
Rejea kwenye ibada, funga na kuswali sana na MUNGU atakutakasa.
#Amiin[emoji3578]