Uchawi uliniponza

Aiseee nitadu baada ya kufanya tafakuri jadidi
 
Njoo kwa Yesu leo, achana na mambo ya kichawi mkuu.njoo kwa Yesu leo.
 
Umeambiwa umwambie mtu yupowapi na anafanya nini unatakapesa.

Wewe ni mjanjamjanja tu unajifanya mganga wakienyeji na umetafuta hadisi ukaiweka hapa iliwatu wanao amini ushirikina wakutafute uwatibu ujipatie ridhiki.

Subiritu utawapata.
Mkuu huyu jamaa hana lolote anatafuta kiki tu ,anataka na yeye awe maarufu kama mshana jr,rakims na mtu mzito hali ya kuwa hana anachokijua.
 
Yaani hiyo mizimu na uchawi ingekuacha uje huku Jf kuomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye maagano yao??wakati akili yako yote imeshikiliwa na mizimu na huo uchawi.

tafuta hadithi nyingine uiweke front page.
 
kwani akimkubali Mtume Muhammad Uchawi hauishi?
Why amkubali Yesu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…