Mkuu huyu jamaa hana lolote anatafuta kiki tu ,anataka na yeye awe maarufu kama mshana jr,rakims na mtu mzito hali ya kuwa hana anachokijua.Umeambiwa umwambie mtu yupowapi na anafanya nini unatakapesa.
Wewe ni mjanjamjanja tu unajifanya mganga wakienyeji na umetafuta hadisi ukaiweka hapa iliwatu wanao amini ushirikina wakutafute uwatibu ujipatie ridhiki.
Subiritu utawapata.
Mkuu achana naye ,utoto bado unamsumbua , uchawi aujulie wapi?bla bla, wachawi huwa hawatoi siri ya mambo yao. nikiapo
WEWE NI WA KANDA GANI?Uchawi unatofautiana kikanda na kikoo.
UTAFANYWA SHOGA SASA HIVI UKOMEMkuu achana naye ,utoto bado unamsumbua , uchawi aujulie wapi?
kwasababu wewe ni mchawi pia na umeona jinsi anavyoeleza sivyo mnavyofanya usiku sio? no wonder nilikupiga kibuti we mwanamke.Muongo.
Ngoja nikuonyeshe uchawi Leo.Nipo ujiji nawe ucku huru utalala ujiji kigoma.Kuna watu siwaelewi wana quote uzi wakati ni mrefu sana. Ina bore sana
Uwezo huo hanaUTAFANYWA SHOGA SASA HIVI UKOME
Waroge tuKuna watu siwaelewi wana quote uzi wakati ni mrefu sana. Ina bore sana