Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,417
- 872,010
Aamen hallelujahkumbe haya yanawezekana ngoja nkatubu mie midhambi zangu.. ikumbuke siku ya Bwana na ukaitakase mshana jr
Mkuu Siku zilizobaki hakuna uchawi
Wachawi ni mbu/vimelea waganga ni quinineNaomba kuuliza hivi kuna uhusiano gan kati ya wachawi na waganga?
Msemakweli mpenzi wa Mungu sijaenda ndugu yanguMshana jr, leo hujaenda church?
Upo ni kama kwenda kanisani Jumapili lakini siku nyingine sio kwamba unazuiwa kwendaMkuu Siku zilizobaki hakuna uchawi
Umejibu kifalisafa
Uchawi kivipi?? na kwa nini hizo siku tatu tu?
??????
Kwa nini